Hali CHADEMA Simanjiro ni tete ufisadi wa kutisha.

O

Olemandalo

Senior Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
117
Points
0
O

Olemandalo

Senior Member
Joined Dec 7, 2012
117 0
Baada ya mkakati mzito uliopangwa na CCM wilaya ya Simanjiro, hali imewaendea vibaya makamanda wa CHADEMA Wilayani hapa huku kukiwa na taarifa za uhakika ya makamanda hawa kufanya ufisadi wa kutisha. Wakati makamanda wakitafutana kwa polisi sisi tunatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi, juzi tulikutana na wapiga kura vijana wa simanjiro wanaofanya biashara ya madini ya Tanzanite, tumewapa mikopo yenye garama nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi,

UFISADI WA CHADEMA

kamanda mmoja wa CHADEMA anayejulikana kwa jina Oleleshwa anatafutwa na rafiki yake wa karibu sana Millya kwa kutoroka na hela za ujenzi wa ofisi ya CHADEMA wilayani hapa, kamanda Oleleshwa anatuhumiwa kukimbia na hizo hela baada ya kuona CHADEMA inakufa akaamuua kujiponyesha angalau na hizo millioni nane hali ya makamanda wengine ni tete kamanda mmoja anaitwa Gidion Sanago wametandikana ngumi leo na Olemillya mpaka Millya sasa yuko hosipitali; tumeanza kuwarudisha vijana wetu waliopotea njia kurudi nyumbani Tobiko CCM.
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,840
Points
1,225
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,840 1,225
Hichi chama kinaelekea kaburini, CCM oyeeeee!!!!!!!!
Mbona mnapiga ngoma na kucheza wenyewe?CHADEMA kamwe haiwezi kufa kwa propaganda,inaweza kufa kwa kushindwa kutekeleza ahadi ilizowaahidi wananchi!
 
Rugaijamu

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2010
Messages
2,919
Points
2,000
Rugaijamu

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2010
2,919 2,000
Baada ya mkakati mzito uliopangwa na ccm wilaya ya simanjiro, hali imewaendea vibaya makamanda wa chadema Wilayani hapa huku kukiwa na taarifa za uhakika ya makamanda hawa kufanya ufisadi wa kutisha. wakati makamanda wakitafutana kwa polisi sisi tunatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi, juzi tulikutana na wapiga kura vijana wa simanjiro wanaofanya biashara ya madini ya Tanzanite, tumewapa mikopo yenye garama nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi,

UFISADI WA CHADEMA

kamanda mmoja wa chadema anayejulikana kwa jina Oleleshwa anatafutwa na rafiki yake wa karibu sana Millya kwa kutoroka na hela za ujenzi wa ofisi ya chadema wilayani hapa, kamanda Oleleshwa anatuhumiwa kukimbia na hizo hela baada ya kuona cdm inakufa akaamuua kujiponyesha angalau na hizo millioni nane hali ya makamanda wengine ni tete kamanda mmoja anaitwa Gidion Sanago wametandikana ngumi leo na Olemillya mpaka millya sasa yuko hosipitali; tumeanza kuwarudisha vijana wetu waliopotea njia kurudi nyumbani tobiko ccm. tobiko sendeka.
TUMESHAUELEWA MKAKATI WENU.......ENDELEENI TU KUTAPATAPA!:bowl:
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,840
Points
1,225
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,840 1,225
tuendelee kudumisha amani yetu na udugu
Mkuu kwani watu ambao ni ndugu lazima wawe na mtazamo mmoja?je wakiwa na mitazamo inayotofautiana,undugu wao huwa unakufa?Nyinyi ambao mpo CCM wote ni ndugu?achana na hoja dhaifu katika wakati huu ambao tunapaswa tuwe serious.
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,348
Points
2,000
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,348 2,000
Hivi wewe jama huko simanjiro huwa unakunywa supu ya kongosho ya bundi? Maana daily unaleta post za huko mara oooh... Sijui milya afumwa na mke wa mtu, mara sijui milya asalimu amri kwa ole sendeka,
yani full kujichanganya.

Basi tayari tumekusikia nenda kachukue posho yako lumumba na uwahi kabla ya Nape hajaondoka.
 
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,017
Points
1,250
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,017 1,250
Olemandalo; Pol Pot

Naona Ole Sendeka amewapa kitu kidogo cha kufungia mwaka,poleni sana watumwa wajinga wa mafisadi! Na kwa mwenendo wenu humu nina imani mtatoweka jamvini kwa aibu zenu!
Waone walivyo na akili baridi hawa watumwa!
 
Last edited by a moderator:
KASHOROBANA

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
3,247
Points
1,500
KASHOROBANA

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2011
3,247 1,500
Mbona mnapiga ngoma na kucheza wenyewe?CHADEMA kamwe haiwezi kufa kwa propaganda,inaweza kufa kwa kushindwa kutekeleza ahadi ilizowaahidi wananchi!
JAMANI WANACHADEMA WALA MSITETELEKE, CCM NI WAPUMBAFU KUPITA KIASI, WANATUMIA ELA NYING SANA KTK MAGAZETI, MITANDAO NK ATI KUICHAFUA CHADEMA, IVI AFRIKA II KUNA CHAMA FISADI KM CCM? WAMESHINDWA KUJIBU KASHFA ZOTE ZA EPA, PEMBE ZA TEMBO, UTOROSHAJ WA WANYAMA NA WAMEGEUKIA CDM, WHY NOT CUF OR NCCR etc? JIBU NI KUWA CHADEMA NI THREAT KWAO, TUSITETELEKE MAGAMBA WATWAMBIE KISA CHA KUMPA UKATIBU MKUU JANGILI KINANA PIA M/MWENYEKITI FISADI MKUU WA EPA MANGULA, ATA MSEKWA ALISHIRIKI UTOROSHAJI WA WANYAMA, RIDHIWAN MUUZA UNGA, WAYAJIB AYA NDO TUTAWAAMINI, WALA HATUKATI TAMAA MWOKOZ WETU NI CHADEMA TU
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,840
Points
1,225
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,840 1,225
JAMANI WANACHADEMA WALA MSITETELEKE, CCM NI WAPUMBAFU KUPITA KIASI, WANATUMIA ELA NYING SANA KTK MAGAZETI, MITANDAO NK ATI KUICHAFUA CHADEMA, IVI AFRIKA II KUNA CHAMA FISADI KM CCM? WAMESHINDWA KUJIBU KASHFA ZOTE ZA EPA, PEMBE ZA TEMBO, UTOROSHAJ WA WANYAMA NA WAMEGEUKIA CDM, WHY NOT CUF OR NCCR etc? JIBU NI KUWA CHADEMA NI THREAT KWAO, TUSITETELEKE MAGAMBA WATWAMBIE KISA CHA KUMPA UKATIBU MKUU JANGILI KINANA PIA M/MWENYEKITI FISADI MKUU WA EPA MANGULA, ATA MSEKWA ALISHIRIKI UTOROSHAJI WA WANYAMA, RIDHIWAN MUUZA UNGA, WAYAJIB AYA NDO TUTAWAAMINI, WALA HATUKATI TAMAA MWOKOZ WETU NI CHADEMA TU
Mkuu umemaliza kila kitu,hongera sana kwa uchambuzi wako yakinifu!
 
KASHOROBANA

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
3,247
Points
1,500
KASHOROBANA

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2011
3,247 1,500
Olemandalo; Pol Pot

Naona Ole Sendeka amewapa kitu kidogo cha kufungia mwaka,poleni sana watumwa wajinga wa mafisadi! Na kwa mwenendo wenu humu nina imani mtatoweka jamvini kwa aibu zenu!
Waone walivyo na akili baridi hawa watumwa!
PIA KUNA JINGA MOJA LIKO SIMANJIRO LAJIITA OLEMANDALO, ILI LIBWANA LINA AKILI KM ZA NG'OMBE LINATUMIWA NA MBUNGE WA UKO LIMEAJILIWA PUNDE MH SENDEKA AKIJISAIDIA LINAENDA LINAMCHAMBA NA KUYAOSHA MASABULI, TAFUTA KAZI YA MAANA UFANYE NA SI KUYAFAGILIA MAFISADi
 
Last edited by a moderator:
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,749
Points
1,225
Age
39
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,749 1,225
Baada ya mkakati mzito uliopangwa na ccm wilaya ya simanjiro, hali imewaendea vibaya makamanda wa chadema Wilayani hapa huku kukiwa na taarifa za uhakika ya makamanda hawa kufanya ufisadi wa kutisha. wakati makamanda wakitafutana kwa polisi sisi tunatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi, juzi tulikutana na wapiga kura vijana wa simanjiro wanaofanya biashara ya madini ya Tanzanite, tumewapa mikopo yenye garama nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi,

UFISADI WA CHADEMA

kamanda mmoja wa chadema anayejulikana kwa jina Oleleshwa anatafutwa na rafiki yake wa karibu sana Millya kwa kutoroka na hela za ujenzi wa ofisi ya chadema wilayani hapa, kamanda Oleleshwa anatuhumiwa kukimbia na hizo hela baada ya kuona cdm inakufa akaamuua kujiponyesha angalau na hizo millioni nane hali ya makamanda wengine ni tete kamanda mmoja anaitwa Gidion Sanago wametandikana ngumi leo na Olemillya mpaka millya sasa yuko hosipitali; tumeanza kuwarudisha vijana wetu waliopotea njia kurudi nyumbani tobiko ccm. tobiko sendeka.
daa sokoine akifufuka akakuta mmasai unafanya utumbo kama huu atakufa hapohapo
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,079
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,079 2,000
Upuuzi! Habari kutoka gazeti la sani!
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
Kama ndo mmekaa na mkafikiria hii ndo njia ya kuiokoa ccm yenu basi mma laana aisee, mmeshindwa kuwa na mkakati utakaoonekana ni wa watu wenye akili angalau za kuvukia barabara!??
 
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
1,680
Points
1,225
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
1,680 1,225
ccm siku hizi imekuwa tasisi ya kibenk???? mnatoa mikopo yenye riba nafuu!!!
tuambie ni asilimia ngapi na sisi tuje tukope?
hao wafanyabiashara wa madini ni wakazi wa simanjiro?
je wafugaji mmewasaidiaje?
na vipi kuhusu wale wenye malalamiko ya kunyang'wa ardhi yao mmewasaidiaje?
 
Forum statistics

Threads 1,284,375
Members 494,064
Posts 30,823,225
Top