Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Picha: Januari 10, 2012 picha ya pamoja Balozi wa Marekani nchini na wakufunzi wa FFU baada ya kuhitimisha mafunzo katika ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam CHAMA cha Demokarasia na Maendeleo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kumekuwa na Malalamiko kutoka kwa wananchi na hasa kwa wanachama na wapenzi wa chama cha Mapinduzi kuwa katibu wa Siasa na Uenezi,ndugu Nape Mnauye,amekuwa akitoa Matamko mbalimbali ya kwake...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanabodi heshima kwenu. Kama mnavyojua wanabodi hapa jf,wakuu wa wilaya ni wajumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya ccm,na pia wakuu wa mikoa ni wajumbe wa kamati ya siasa ya ccm ya mikoa. Vilevile...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Baada ya ratiba ile ya awali kusimama kidogo kutokana na safari ya viongozi wakuu wa CHADEMA nje ya nchi, kwa takriban siku 9, Katibu Mkuu Dkt. Willibrod Slaa ameanza tena ziara ya ukaguzi wa...
4 Reactions
191 Replies
12K Views
Ni miongoni mwa maeneo mazuri kabisa kijiografia na ambayo yana huduma karibu zote muhimu. Kuanzia umeme, maji, ulinzi na usalama na linafikika kiurahisi. Ukaribu wake na katikati ya jiji na...
15 Reactions
68 Replies
6K Views
Chama cha mapinduzi kimeonesha ukomavu na uzalendo unaostahili kuigwa na vyama vingine vya saisa nchini. Chama hiki kimeenda mbali zaidi kwa kusahau tofauti za vyama na kuamua kuwapigia kura na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari njema niliyopewa na ndugu wananchi wa jimbo la KIGAMBONI katika kukusanya maoni yao juu ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) nimepokea maoni mazuri baadhi ya maoni hayo ni hili la KADI ...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Salam kwenu nyote, naomba nitoe ushauri au maoni kwa kikosi kipya cha CCM kinachozunguka mikoani chini ya Nape na mzee Kinana. Mosi ni juu ya kuwatumia watumishi wa umma kinyume na taratibu...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Wananchi tutamalizika kwa maradhi kwa kufakamia Bidhaa Fake zikiwemo Vyakula na Madawa yaliokuwa yamesha maliza muda wake na wafanya biashara kuyabadilisha date. ------/ ASILIMIA 20 ya bidhaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CHADEMA na watanzania wote Washington DC, Maryland, Virginia na east coast kuaga 2012 pamoja. Ni kukutana kwa ajili ya holiday season, kujadili yanayo jili nyumbani na kwenye mazingira yetu. Mtu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Suala la CCM kuwa na chama cha vigogo mafisadi na wezi halina mjadala, ila sababu yake ni nini hasa? Mie sidhani kama ni tamaa tu ya fedha na utajiri kwani kuna viongozi wengi tu wamo ambao ni...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
wana jf, kwa kipindi cha zaidi ya wiki moja tumesikia madai ya ccm kwamba dr. slaa ni mwanachama mwenye kadi (inayolipiwa) wa ccm. pamoja na mengi yanayozungumzwa kuhusu hili lipo jambo ambalo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana Jamii.... Poleni kwa majukumu yenu ya ujenzi wa taifa hili na kujiongezea kipato katika familia zenu..nimelazimika kuandi mada hii yenye heading ya lugha ya kigeni kwani nimekosa neno...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
- Nimeona Mkurugenzi wa CHADEMA leo akidai maelezo kuhusiana na safari ya hivi karibuni ya Waziri wa CCM Magufuli huko Kenya na kuhusika na mikutano ya kampeni za Urais huko, - Now kwenye hilo...
4 Reactions
148 Replies
13K Views
Nina hakika nyie ni mashaidi aidha kwa kutumia vyombo vya habari vya ndani na vyombo vingine vya nje kuhusu maendeleo yaliyoko RWANDA japokuwa nchi hiyo imekuwa ndani ya vita vya wenyewe kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ilivyotabiriwa Tsunami kubwa ya wafuasi wa chadema wameanza kuhamia CCM, Leo hii tayari mwenyekiti wa vijana Katibu wa vijana Katibu mwenezi wote hawa wamechukizwa na siasa za kihuni za...
0 Reactions
94 Replies
7K Views
MBUNGE wa Segerea, jijini Dar es Salaam, Dk Makongoro Mahanga amesema rushwa na ufisadi ndiyo ajenda pekee ya vyama vya upinzani katika kukichafua CCM na kuitumia kama hoja ya kutaka kukiondoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nichukue fursa hii kumfunza kijana Nape katiba ya chama kilichomlea tangu azaliwe na kinachomuweka mjini leo hii: Bahati mbaya sana kwa ccm, siku ya kufa nyani miti yote huteleza, CCM ipo...
20 Reactions
179 Replies
13K Views
  • Closed
Vijana wanaojiita CHADEMA na kuimba nyimbo zoooote za CCM na kubeba vibwagizo vya Nape Nnauye, wanafanya press conference Jijini Mwanza muda huu kutukana harakati za mabadiliko nchini. Wanapambana...
8 Reactions
699 Replies
43K Views
CHADEMA: MAGAMBA WATATU VUNJA VUNJA BILA ROYALTY: MAKAMANDA WA CHADEMA: Tuwe waangarifu sana, tushikamane, tuwe royal kwa chama chenu, tusikubali kurubuniwa. Huu ni wakati mgumu kuliko wote...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom