M4C ndani ya KIBAHA

M4C ndani ya KIBAHA

diplomatics

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Posts
217
Reaction score
46
Leo kuanzia saa nane mchana Dr Slaa baadhi ya wabunge wa CHADEMA watafanya mkutano mkubwa ndanI ya Kibaha.
 
mara yupo kibaha mara ilala na kigamboni..makene hebu weka mambo sawa hapa
 
tujuzane ki-ufasaha sasa maana Nyabhingi ashanitia wasiwasi hapo
 
Huo mkutano unafanyika kibaha sehemu gani nipo kiluvya nijongee hapo kibaha niwape live updates
 
Kibaha kubwa Mkuu.Ukianzia Mailimoja,Picha ya Ndege,Kwambonde,Kwa Matias,Tanita,Mwendapole,Kwa Mfipa,Miembe Saba,Kongowe,Misugusugu,Visiga kwa Kipofu,Visiga Madafu,Msufini hadi Mlandizi.Atakuwepo wapi?
 
Wakuu naona siku hizi kasi ku kuleta LIVE mikutano ya M4C imepungua sana sijui kwasababu gani.
 
Vipi mchange atakuwepo?coz aliiponda sana m4c kisa tuu haikuanzishwa na zitto kabwe .
 
Yeah! Naulizia kuhusu kamanda Mchange atakuwepo leo? Maana nilisikia watu wakisema kuwa yeye haitambui M4C lakin kama kweli atakuwepo huyu kamanda naamin itapendeza sana ktk kuendeleza chama chetu kwani unity is the power.

Peoples power.
Solidarity forever.
 
Last edited by a moderator:
Hayo ndo mambo ya kiutu uzima siyo kulala lala tu ofisini.
2015 tunataka wachapakazi tu siyo hao MAGAMBAS wanaosinzia sinzia (WASIRA) Bungeni.
 
Wao waendelee kujadili kadi ya CCM ya dr. slaa, sisi tunachanja mbuga tu!

AKI YA MUNGU POKEA LIKE YANGU, HAWA JAMAA ZAKE NNAPE NA UZUSHI WAO WAKIJA KUFANYA EVALUATION PIA OUTCOME YA UO UZUSHI CHADEMA ITAKUWA MBALI IMEIMARIKA, CHADEMA GO, DR SLAA Go TUKO PAMOJA MKUU WETU
 
Licha ya hali ya hewa kuwa ya mawingu,na mvua kunyesha.maelfu ya wananchi wahudhuria mkutano wa M4C KIBAHA JIONI HII.
Pamoja na elimu ya uraia kutolewa kuhusu wananchi kutoa maoni kuhusu katiba,suala la ugumu wa maisha halikuachwa kugusiwa.
Wenje(mb)
Ugumu wa maisha na kuuliwa kwa viwanda ni matokeo chanya ya selikali ya ccm.rudisheni viwanda wananchi wapate ahueni ya maisha.
Mnyika (mb)
Toeni maoni yenu kumpunguzia Rais madaraka.madaraka yarudi kwenu wananchi.
Kanana 'wavue kwanza magamba,wale magamba.
Mpango wa mawaziri wa ccm kuzunguka nch kujibu hoja umekumbana na zomea zomea.
Pia kanana na wazee wenzake wametakwa waeleze ugumu wa maisha kwa watz sababu yake nini
Umeme .mafisadi wanapanga kupaisha bei ya umeme.huku wakitambua wananch wako tabaani kimaisha.
Susan kawangwa.(mb.vm)
.ccm bye 2015.. .
Pareso (mb.vm)
wananchi jikomboeni kwa kuiunga mkono cdm.
Na huu ni mwanzo tu wa M4C.kazi ndio inaanza.
Picha
simu yangu mchina haina uwezo wa kutuma picha
karibuni
 
Back
Top Bottom