Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa ni dhahiri kabisa kwamba CCM haina njia nyingine ya kuyarudisha majimbo muhimu ya ubunge yaliyochukuliwa n CHADEMA isipokuwa kutwatumia polisi kwa njia yao ile ile ya kushindwa kujibu hoja --...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanasiasa wa Tanzania wamekuwa ndio chanzo cha kushuka kwa elimu ya Tanzania, matokeo mabovu ya darasa la saba, kidato channe na kile cha sita chanzo ni wanasiasa. Na kumbuka Mh. Joseph Mungai...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
hivi hawa watu walishawahi kufungwa?
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndugu wadau bila shaka nyote ni wazima. Nipo hapa Sinza Palestina ambapo Rais Kikwete atakuwepo katika kuzindua Hospitali ya Sinza, viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa kata ya Sinza na...
4 Reactions
141 Replies
12K Views
Katika chaguzi zilizopita hasa wa 2010, wimbo mkubwa ulikuwa ni wa kupata katiba mpya pindi CHADEMA ikiingia madarakani. Nilitegemea CHADEMA wangeanzisha kampeni maalum ya kuhamasisha wananchi...
0 Reactions
66 Replies
4K Views
CCM zanzinar wamekuwa wakiendesha utaratibu mzima wa maoni huwezi kuzima hisia za watu kwa ubabe Warioba kuwa makini au utakuwa ni Mursi
0 Reactions
13 Replies
2K Views
"Benki ya Dunia (WB), imeipatia Serikali ya Tanzania mkopo usio na riba wa Sh. bilioni 489.8 kwa ajili ya kuendesha miradi mitatu ya kilimo, kuendeleza serikali za mitaa na uhifadhi wa chakula...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
• ASEMA KUHOJI KADI YA DK. SLAA NI KUJIDHALILISHA WAKILI maarufu wa kujitegemea jijini Arusha, Method Kimomogoro, amesema hoja ya Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) Taifa ya CCM, Itikadi na...
21 Reactions
78 Replies
8K Views
Hatimaye CHADEMA imeendelea kuitesa CCM mahakamani baada ya Diwani Ulole wa kijitonyama aliyekuwa amevuliwa udiwani kushinda kesi mahakama kuu na kurudishiwa udiwani wake. Jaji Wambura alisema...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni lini, na katika mkutano au hafla gani tangu aupate urais Kikwete aliujia juu ufisadi kwa kuulani kwa nguvu zake zote kama ni kansa inayoitafuna taifa na kutishia amani ya nchi hii? Mimi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
CHADEMA Kimeshindwa kabisa kujua nia yao na kusudio lao hadi sasa ni lipi ki- utawala. Hii imekuja baada ya kumwomba Mungu awajalie wapate nafasi za uongozi ngazi mbali mbali, kuanzia mitaa hadi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Na Mwinyi Sadallah 13th December 2012 Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) vimeshutumiana vikali kuhusiana na kuvunjika kwa mikutano miwili ya kutoa maoni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ktk kipindi cha mapitio ya magazeti redioni,gazeti la Mtanzania limeripoti kutimuliwa kwa madiwani 3 wa CHADEMA Ilemela kwa kutohudhulia vikao vya madiwani ktk manispaa ya Ilemela. Je ndio...
1 Reactions
88 Replies
7K Views
Dr Slaa Na Richard Makore 27th November 2012 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, akipunga mkono wakati akikaribishwa na viongozi wa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Sunday, December 9, 2012 Waombolezaji mbali mbali wakiushindikiza mwili wa Marehemu Bi. Zaynab Suleiman (Mama yake Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu) katika makaburi ya...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Katibu wa itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye kwa sasa anajiona anaweza yote hatambui kuwa watu wanajua alikoanguka huko nyuma, lakini leo ananyoosha vidole ili aonekane kwenye kundi la wale...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tukiacha sakata la wabunge wa Nyamagana na Ilemela kusakwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwachochea wananchi waandamane kwa lengo kumtoa mkurugenzi anayewahujumu.kwa upande wa jimbo la Tarime...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika Gazeti la Raia Mwema (Dec. 12-Dec. 18 2012) kuna makala "Kwa nini Zitto anafa kuwa rais 2015" mwandishi Ezekiel Kamwaga anayetambulishwa kama msomaji wa Gazeti hilo anapambanua kuwa sifa...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ndugu mwana Jf, kama wewe huwa unafuatilia kwenye vyombo vya habari utakubaliana na mimi kuwa viongozi wetu si watu wa kufanya action. Viongozi wetu wametawaliwa na neno ''WITO''. Mimi binafsi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ndugu wanaJF, kama kweli tunaipenda nchi yetu tajiri yenye asali na maziwa basi ni busura kukubaliana kwa pamoja kuwa ili ustawi wa wananchi uweze kumea vizuri ni lazima CCM ife kwa sababu...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom