Unajua hili?

Unajua hili?

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
763
Reaction score
91
Mtaji wa ccm ni ujinga wawatanzania ndio maana sehemu za mjini na kwenye majiji makubwa nchini hawana chao nakwa sasa mbinu zote zimewaishia imebaki moja tu ambyo ni propaganda uchwara natukifanikiwa kuzipuuza hawa magamba hawana chao uspokuwa makini iko siku watawaambia cdm wote ni vikatuni wao magamba ndio watu

nb hii ni elimu ya bure mwanafalisafa michaelalois aliwahi kusema anaye kataa elimu ujinga ndio unao muongoza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom