Wana CHADEMA huu ni muda ambao Mungu ameutoa, utumike vema

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,451
1,170
Kwa ufupi ningependa kuwakumbusha wana CHADEMA wote kuwa muda huu ambao magamba wamehamanika kudai kadi yao toka kwa Kamanda Dr. Slaa na kusahau wajibu wao. Kwetu sisi ndio muda muafaka ambao Mungu ameutoa tuutumie kujenga chama.
Hivyo kuna kila sababu ya kutumia muda huu kuhamasishana katika kutengeneza chama imara.

VIVA CDM.
 

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
Kwa ufupi ningependa kuwakumbusha wana cdm wote kuwa muda huu ambao magamba wamehamanika kudai kadi yao toka kwa Kamanda Dr. Slaa na kusahau wajibu wao. Kwetu sisi ndio muda muafaka ambao Mungu ameutoa tuutumie kujenga chama.
Hivyo kuna kila sababu ya kutumia muda huu kuhamasishana katika kutengeneza chama imara.
VIVA CDM.

Saa ya ukumbozi ni sasa..
 

Mercyless

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
655
250
Huwezi kuwa mtu imara kama hutopita katika matatizo na vipingamizi mbalimbali. Vituko vyote vinavyotokea sasa vitapita na CHADEMA itaimarika zaidi kuliko ilivyo sasa. Nawaomba msife moyo wala kukata tamaa kwani matatizo yanapozidi kuwa makubwa ndio yanapoelekea kwisha (when the going gets tough, the toughs get going). Vibaraka wachache walioamua kutumikia matumbo yao na kusahau mustakabali wa watoto na wajukuu wao watakuja kuhukumiwa na historia (2015).
 

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,211
0
Ni kweli mkuu hii ni vita ya ukombozi wa taifa letu,kuna wengine wataishia njiani,kuna wengine watakata tamaa,kuna wengine watatubeza,hayo yote ni sehemu ya kukomboa taifa letu.mungu wabariki viongozi wa cdm freeman,dr slaa,zitto na wengineo. God bles TANZANIA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom