Dakta Kilahama Vipi?

Dakta Kilahama Vipi?

Sabato masalia

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
228
Reaction score
134
Tarehe 12/12/2012 ndio siku ya mwisho kwa mkurugenzi wa idara ya misitu na nyuki Dr Felician Kilahama kuendelea kukalia kiti baada ya muda wake wa kustaafu kukamilika rasmi,lakini cha ajabu anahaha kuomba aongezewe muda, huyu bwana na uzee wote huo bado anahaha kutaka aongezewe muda, na ameshaandika barua kwa waziri na kila mara katika hotel ya chief pride iliyoko mtaa wa chaga eneo la kitumbini, anaonekana yuko na katibu wa rais bwana Kassim Mtawa akibembeleza amsaidie kuendelea na nafasi hiyo. Kilahama kwa nini hutosheki mzee? waache vijana nao wachape kazi muda wako umeisha kaendelee na kilimo na ujasiliamali.

Tena ikifuatiliwa kwa karibu hukupaswa kustaafu mwaka huu ilikubidi miaka miwili iliyopita lakini umechakachua umri, Mzee Kilahama fungasha virago wende waachie vijana wapange mambo yaende kama vibali feki na kuuza magogo nje hujashiba basi kitafuata kifungo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom