Kamati ya ulinzi na usalama Mwanza yaamuru wabunge wa CHADEMA wakamatwe


N

nyangasese

Senior Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
129
Points
170
Age
47
N

nyangasese

Senior Member
Joined Aug 21, 2011
129 170
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na mkuu wa wilaya ya Nyamagana, ambaye pia ni kada maarufu wa CCM amemuamuru kamanda wa polisi wilaya(OCD) kuwakamata mara moja wabunge wa Chadema, Ezekiel Wenje na Highness Kiwia kwa kile kinachosemwa kuwa walitoa matamko ya uchochezi katika mikutano yao
 
A

Aristides Pastory

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Messages
348
Points
0
Age
29
A

Aristides Pastory

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2012
348 0
Uchochezi huo umeleta maafa gani mpaka sasa?

Mijitu kama hili kURUgenZI inastahili litafutwe likajieleze ICC ....

Aibu Iwe juu yenu cCm na vibaraka vyenu vyote.
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na mkuu wa wilaya ya Nyamagana, ambaye pia ni kada maarufu wa CCM amemuamuru kamanda wa polisi wilaya(OCD) kuwakamata mara moja wabunge wa Chadema, Ezekiel Wenje na Highness Kiwia kwa kile kinachosemwa kuwa walitoa matamko ya uchochezi katika mikutano yao
MImi ninachowalaumu viongozi wa chadema ni jazba na kutofuata utaratibu?nani kasikia waliyokuwa wanayasema hawa jamaa?Eti wanataka wakamng'oe mkurugenzi kwa maandamano! This is a craizy decision! Toka lini watumishi wa uma wakuajiriwa wakang'olewa kwa maandamano ya makundi ya kisiasa?JE! tukiruhusu makundi mbalimbali yakiona hayaridhishwi na utendaji wa mtumishi fulani (wa kuajiriwa;si wa kisiasa) yawe yanavamia halmashauri na kumuondoa huku ana mikataba nakadhalika unadhani tutakuwa tunafanya mambo ki taalam au kwa emotions! unadhani ni nini matokeo yake?unadhan hali ya usalama wa watumishi wa umma itakuwa je?unadhani ni nini majukumu ya vyombo vya usalama?Rais mwenyewe anaweza kufika mahali akakuta mtendaji flani hafanyi vizuri;anachofanya si kumuondoa bali kuagiza mamlaka inayohusika imchukulie hatua.Sasa ninichojiuliza kwamba kama chadema hawana tabia ya kufuata utaratibu na kuheshimu vyombo na mifumo vilivyopo(Institutional and structural framework) pamoja na mgawanyo wa majukumu na madaraka, wakiwa nje ya serikali; sijui wakiwa wao ndo viongozi wa serikali itakuwaje?
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
Ndio sababu kwenye katiba ijayo hatutaki misukule inayoitwa wakuu wa wilaya. Hii mindondocha iko pale kuitumikia CCM.
CHADEMA wao wanapingana na kila mtu serikalini.sio kwamba ndo wanaanza na mkurugenzi leo.WAlianza na kikwete alipochaguliwa kuwa raisi.walisema hawamtambui bila maelezo ya kueleweka. Slaa alipohojiwa BBC kuhusu kutomtambua Kikwete akawa anajichanganya mpaka watangazaji wakawa wanacheka!,Kikwete alipofika bungeni wakamsusia; wakakoka nje eti wanachungulia madirishani!, waliposhindwa hila zao hizi wakaamua kumtembelea ikulu kisha wakaanza hila nyengine.

Mara ngapi wamekuwa wakipingana na wakuu wa mikoa?wakielekezwa jambo "A" wao wanasema sisi tutafanya "B" tuone watatufanya je? mara ngapi wamekuwa wakiwapinga polisi akiwemo IGP? (Kwa hiyo kwa mtitazo wa CHADEMA ;kama ni kutaka kuwaridhisha;basi tuondoe wakuu wa wilaya.mikoa,rais,polisi n.k).

Kwa hiyo CHADEMA wanataka watu waamini kwamba wao tu tu ndo wenye akili, wao tu ndo wenye haki,wao tu ndo wasomi, wao tu ndo wanaojua lakini wao tu ndo wanaodhulumiwa. CHADEMA wanataka kutuaminisha kwamba wao ni zaidi ya serikali,wao ni zaidi ya polisi, wao ni zaidi ya sheria. CHADEMA wanataka kutuonesha kwamba wao wanaweza kufanya lolote watakalo bila kuulizwa na yeyote.

CHADEMA wanataka Watanzania waamini kwamba,watumishi wa umma hawana akili wala hawajasoma,wanasheria hawajui walitendalo, viongozi wa serikali hawajasoma na hawana akili sawasawa na polisi kadhalika hawajui walifanyalo.Watu wenye fikra za namna hii ni watu wa hatari kwa taifa lolote lile na "kama tukitegemea watu hawa ndo watakaoikomboa tanzania; tutakuwa watu maskini kupita watu wote".
 
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
5,931
Points
2,000
Age
40
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
5,931 2,000
Huy DC ana elmu kias gani? bado hakumsikia boss wake Kikwete kuwa CCM wasitegemee police? mwisho wa hawa ma DC ni 2015 by katiba mpya.
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
Huy dc ana elmu kias gani?bado hakumsikia boss wake Kikwete kuwa ccm wasitegemee police? mwisho wa hawa ma DC ni 2015 by katiba mpya.
hata tukiondoa ma DC; CHADEMA watampinga yeyote atakayekuwepo.
 
M

Mwikimbi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
1,755
Points
1,250
M

Mwikimbi

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
1,755 1,250
Naona vijana wa Lumumba leo mmejaa huku, kachukueni ujira wenu kwa Nape
 
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Messages
3,846
Points
1,225
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2010
3,846 1,225
chadema wao wanapingana na kila mtu serikalini.sio kwamba ndo wanaanza na mkurugenzi leo.WAlianza na kikwete alipochaguliwa kuwa raisi.walisema hawamtambui bila maelezo ya kueleweka.

Slaa alipohojiwa BBC kuhusu kutomtambua Kikwete akawa anajichanganya mpaka watangazaji wakawa wanacheka!,Kikwete alipofika bungeni wakamsusia; wakakoka nje eti wanachungulia madirishani!, waliposhindwa hila zao hizi wakaamua kumtembelea ikulu kisha wakaanza hila nyengine.

Mara ngapi wamekuwa wakipingana na wakuu wa mikoa?wakielekezwa jambo "A" wao wanasema sisi tutafanya "B" tuone watatufanya je? mara ngapi wamekuwa wakiwapinga polisi akiwemo IGP?(Kwa hiyo kwa mtitazo wa chadema ;kama ni kutaka kuwaridhisha;basi tuondoe wakuu wa wilaya.mikoa,rais,polisi n.k).

Kwa hiyo Chadema wanataka watu waamini kwamba wao tu tu ndo wenye akili, wao tu ndo wenye haki,wao tu ndo wasomi, wao tu ndo wanaojua lakini wao tu ndo wanaodhulumiwa.Chadema wanataka kutuaminisha kwamba wao ni zaidi ya serikali,wao ni zaidi ya polisi, wao ni zaidi ya sheria.

Chadema wanataka kutuonesha kwamba wao wanaweza kufanya lolote watakalo bila kuulizwa na yeyote.Chadema wanataka watanzania waamini kwamba,watumishi wa umma hawana akili wala hawajasoma,wanasheria hawajui walitendalo,viongozi wa serikali hawajasoma na hawana akili sawasawa na polisi kadhalika hawajui walifanyalo.Watu wenye fikra za namna hii ni watu wa hatari kwa taifa lolote lile na "kama tukitegemea watu hawa ndo watakaoikomboa tanzania; tutakuwa watu maskini kupita watu wote".
.........
Bila wao kuwa na msimamo huo kungekuwa na mchakato wa kupata katiba mpya? Angalia vitu vya msingi walivyo kuwa wana vipigania siyo kuleta siasa zaidi kwa mambo ya msingi.
 
B

Bobuk

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
5,875
Points
1,500
B

Bobuk

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
5,875 1,500
Ameomba kibari kwa SPIKA cha kuwakamata WABUNGE? Au hiyo in apply kwa Wabunge wa CCM tu.
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
Bila wao kuwa na msimamo huo kungekuwa na mchakato wa kupata katiba mpya? Angalia vitu vya msingi walivyo kuwa wana vipigania siyo kuleta siasa zaidi kwa mambo ya msingi.......
Sisemi kwamba mambo yote wanayofanya hayafai,lahasha!kuna mambo ambayo chadema wanafanya ni mazuri sana.

L
akini haiwezi ikawa ndo sababu ya wao wakichanganya na mambo ya ajabu ajabu eti tusiwaambie.Mtu mzuri ni yule anayemuunga mkono yeyote anapofanya jambo lolote jema wakati wowote na kumpinga yeyote anapofanya baya wakati wowote na mahali popote.
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,845
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,845 2,000
betlehem Bila CHADEMA mr dhaifu angewafukuza wale wezi Mkulo, Maige, Ngeleja,,,,,,acha kuropoka.
 
Last edited by a moderator:
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
Ameomba kibari kwa SPIKA cha kuwakamata WABUNGE? Au hiyo in apply kwa Wabunge wa CCM tu.
hivi mbunge anaruhusiwa kuvunja sheria mpaka spika atakapo sema akamatwe?mbunge akiwa nje ya bunge akivunja sheria anashughulikiwa kama kazi ndo maana hata chenge alivyogonga mtu na gari alikamatwa.
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,845
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,845 2,000
Na bila CHADEMA tungekaa tujue wezi wa EPA, Rada, Majengo pacha, pesa za Uswis? CCM ni janga la kimataifa
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
naona vijana wa Lumumba leo mmejaa huku, kachukueni ujira wenu kwa nape
argue dont shout.ona msivyokuwa na hoja. kumbe ninyi huwa mpaka mlipwe ndo mnaongea pointi?

kwa taarifa yako sisi sio viongozi wa CCM wala hatufanyi kazi na serikali.
 
S

SHIP

Member
Joined
Nov 26, 2012
Messages
49
Points
0
Age
31
S

SHIP

Member
Joined Nov 26, 2012
49 0
Dah! Tanzania yetu sasa inakuwa ni mali ya wahuni fulani,inamaana CHADEMA wanadhani sie mabwege?

Wao wanataka wao wawe dini yetu,wao wawe miungu yetu,walimu wetu wanataka watuendeshe wanavyotaka,waende Kilimanjaro wakatawale huko wehu wao.
 
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Points
0
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 0
ndio sababu kwenye katiba ijayo hatutaki misukule inayoitwa wakuu wa wilaya. Hii mindondocha iko pale kuitumikia ccm.
kwani uongo??c wameonekana live itv etc wanachochea wananchi kufanya vurugu ...Na PIA juzi tumemsiki nyerere mUsoma anawachochea wananchi kuvamia ofisi ya dc.... Inavyoenekana cdm siasa zinawashinda au walichokitaka wanachokitaka kinashindwa kufanikiwa sa wanatumia njia za vurugu
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
kwani uongo??c wameonekana live itv etc wanachochea wananchi kufanya vurugu ...na pia juzi tumemsiki nyerere musoma anawachochea wananchi kuvamia ofisi ya dc.... Inavyoenekana cdm siasa zinawashinda au walichokitaka wanachokitaka kinashindwa kufanikiwa sa wanatumia njia za vurugu
wasaka tonge.ndo maana lema anasema wakishindwa uchaguzi 2015 wanaenda msituni.sijui msitu gani?

 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,820
Points
2,000
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,820 2,000
chadema wao wanapingana na kila mtu serikalini.sio kwamba ndo wanaanza na mkurugenzi leo.WAlianza na kikwete alipochaguliwa kuwa raisi.walisema hawamtambui bila maelezo ya kueleweka.Slaa alipohojiwa BBC kuhusu kutomtambua Kikwete akawa anajichanganya mpaka watangazaji wakawa wanacheka!,Kikwete alipofika bungeni wakamsusia; wakakoka nje eti wanachungulia madirishani!, waliposhindwa hila zao hizi wakaamua kumtembelea ikulu kisha wakaanza hila nyengine.Mara ngapi wamekuwa wakipingana na wakuu wa mikoa?wakielekezwa jambo "A" wao wanasema sisi tutafanya "B" tuone watatufanya je? mara ngapi wamekuwa wakiwapinga polisi akiwemo IGP?(Kwa hiyo kwa mtitazo wa chadema ;
Hata CCM huko Karatu, Hai na kwingineko ambako ni chama cha upinzani kinapinga kila kitu wanachofanya chama tawala cdm. Wewe mshabik wa CCM ukiuluzwa JK ameshinda kwa kura ngapi 2010 hujui, hata hiyo tume ya uchafuzi nayo haijui, sasa ulitaka wamchekee tu?
Mabadiko ya katiba ambayo hayakuwapo kwenye ilani ya ari zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi ni matokeo ya nguvu ya Chadema.
Mliahidiwa mahakama ya Kadhi kwenye ilani ya ari mpya mliipata?
Dk Slaa alihojiwa BBC hadi watangazaji walikuwa wanamcheka hiyo labda ilikuwa BBC ya Zanzibar au BBC ya Chalinze
 

Forum statistics

Threads 1,284,356
Members 494,038
Posts 30,822,629
Top