Ni baada ya RPC Mwanza kukataa agizo la kamati ya ulinzi ya wilaya (kamati za fitina) kuwakamata wabunge wa Chadema.
Nawaomba CCM wakae kitako na kutafakari (soul searching) angalau wawe...
Jee, wimbi la mageuzi ya kisiasa katika mataifa ya kiarabu yameleta manufaa yoyote?
wote wenye kufuatilia mambo yanavyokwenda afrika hasa libya,misri na kwingineko..je ni kwa kiasi gani wananchi...
Watanzania tumekuwa tukichekwa na watu wa nje kuwa hatujui jibu maswali, tuna reasoning mbovu na mambo mengine.Pia wana mapinduzi wamekuwa wakipata shida sana kujadili mambo na CCM, kuwaelimisha...
Nimevutiwa na tamko la Machifu wa Mbeya dhidi ya tukio la mauaji la Mwenyekiti wa CCM,wa Wilaya.Huku ndani ya JF kuna thread Mchambuzi nilichangia kama wiki mbili zilizopita nikasema kama Wazee wa...
-Siku za karibuni Nape ameanza piga kelele kuwa watu kadhaa wanashikilia kadi za CCM, bado haikuweza k uwa issue kwa vile kadi hununuliwa na watu wengi tuu hawarudishi hizo kadi.Wengine kama...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
EMAIL PRINT SHARE
BY PETER TEMBA, 14 DECEMBER 2012
THE Gross Domestic Product (GDP) in Kilimanjaro Region has increased from 714.7m/- in 2005 to 1.4bn/- in...
Magamba wanazidi kulowa. Maji yanazidi unga.
Wakati Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar es Salaam ikitoa hukumu ya kumrudishia udiwani na kumthibitisha Kamanda Ulole Ulole kuwa Diwani halali wa Kata...
Mwl. Nyerere wakati wa enzi zake akiwa ameng'atuka aliwahisema katika uchaguzi fulani wa kitaifa alipiga kura ya urais kwa mgombea wa CCM lakini kwa nafasi ya ubunge alimpigia mgombea wa upinzani...
Hongera za dhati kwa serikali ya Tanzania kwa kuwajali wananchi wake, hatimae leo waathirika wa mabomu Gongo la Mboto watakabidhiwa nyumba zao na Mh rais Kikwete.
========
Habari Kamili:
Rais...
Wana JF mi dukuduku langu ni juu ya Hii jumuiya ya WAZAZI ya CCM nina maswali ambayo najiuliza kila siku lakini sipati majibu, maswali yangu ni haya yafuatayo
Katika hii Jumuiya ili uwe...
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu...
Machifu zaidi ya wanane wamekutana nyumbani kwa Mzee Anyelwisye Mwankenja, baba yake na John Mwankenja aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rungwe na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rungwe...
Naikumbuka 1995 pale Nyerere alipotikiswa na Nguvu ya jamaa huyu,japo alionekana kijana nguvu yake ilikuwa ni kubwa sana, wengi hawakumtegemea maana taswira nyingi ziliwaelekea Malecela Sr...
Kuna kitu cha kushangaza katika ilan ya uchaguzi ya CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005.
katika sura ya nane MAENEO MENGINE MUHIMU Demokrasia na maendeleo katika eneo linalosomeka...
Ndugu Nape,
Umekuwa ukimsakama Dr. aliyesomea kuhusu swala la kumiliki kadi ya CCM lakini umesahau kuwa kwa sasa wananchi wengi wasiokuwa na vyeo wala mali na ambao ni tegemeo lenu wakati wa kura...
Wana wa ndugu najiuliza swali moja nashindwa kupata jibu....naona vijana ambayo ni nguvu ya taifa wote wa CCM na CDM wanashadadia hoja ya kumiliki kadi ya CCM kwa katibu wa chama kimoja tena cha...
Mtu akikuambia jambo la kijinga na anajua na wewe una akili nawe ukalikubali atakutumikisha. Nimebadili kidogo tu kauli ile ya Nyerere kuwa "Mtu mwenye akili akikushauri jambo la kipumbavu akijua...
Mkazi mmoja wa Dar ametoa mpya baada ya kuchoswa na tabia za wabunge. Hivyo mkazi huyo amependekeza wabunge wachapwe bakora.
MKAZI wa Kata ya Makuburi Wilaya ya Kinondoni, Pendo Mlyauke (35)...
Ndugu wa TANZANIA tukiendekeza ushabiki wakuchezea ndevu za simba(ccm) eti kwamba ni wa asisi wa umoja na mshikamano wetu huu utakuwa ni upuuzi usio wa kawaida na hivyo kuongeza idadi ya MAAJABU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.