Kumekua na wimbi kubwa sana l awapigaji(matapeli ) katika sekta ya madini, hapa nchini kiasi kwamba hakuna tena any foreign investor mwenye hamu ya kufanya biashara na watanzania katika sekta ya...
Akitetea chench ya rada isitumiwe ma mashirika ya uingereza bernad membe alisema hela ni za watanzania na serikali atazichukua na kununua vitabu leo si kununua vitabu tu bali imekuwa balaa zaidi...
Baadhi ya wafanyabiashara walioongozana na Rais Jakaya Kikwete katika ziara ya kikazi nchini Singapore wakiwa katika picha ya kumbukumbu na mawaziri walio katika msafara huoleo Juni 6, 2013. . Wa...
Katika umbaji wake Mwenyezi Mungu alitumia hekima na busara katika kuumba mbingu na nchi,lakini alimuumba binadamu akampa akili akimtofautisha na wanyama na mimea. Hakuishia hapo alizitenganisha...
Kutokana na kutokuwa na uzoefu wa mfumo wa nchi kuwa serikali za zenye mamlaka ya ndani na serikali ya Muungayo yenye mamlaka ya juu na kimataifa, pamoja na shaka la namna yakupata nguvu za...
Tume ya Warioba imebeza na kupuuzia kurudisha mfumo wa Majimbo ikidai itajenga ukanda na ubaguzi. Halafu "magenius wetu" hawa wakaamua kupendekeza kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika na ya...
wadau hili mnalionaje kama likiwepo kwenye katiba mpya?
Moja wapo ya matatizo yanayoikumba sekta ya elimu ni kutelekezwa na viongozi,watoto wao wanasoma shule za nje ya nchi au shule binafsi za...
Barazani kwa Ahmed Rajabu
Muundo wa Muungano bado hauridhishi
..
Ahmed Rajab
Toleo la 297
5 Jun 2013
..
JAJI mstaafu Joseph Warioba na Tume yake ya Mabadiliko ya Katiba wametamka na...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji na Wakili Msomi Fredrick Mwita Werema anatarajiwa,wakati wowote kuanzia sasa,kuanzisha mchakato wa kuandikwa kwa Katiba ya Tanzania Bara.
Taarifa rasmi toka...
wadau amani iwe juu yenu.
nimekuwa nikijiuliza kuwa since ikulu ya magogoni ndio ilikuwa makao ya serikali yetu tukufu ya TANGANYIKA (najivunia TANGANYIKA kurudi tena) sasa swali kuu ni...
Wazanzibari wengi wamesikika wakiiponda Rasimu ya Katiba Mpya iliyozinduliwa jana na Makamu wa Rais,Dr.Mohamed Gharib Bilal. Sehemu kuuw aliyoilenga ni ya uwepo wa Serikali tatu: Serikali ya...
Dar es Salaam/Dodoma: Mapendekezo yaliyotolewa katika Rasimu ya Katiba Mpya na Tume ya Marekebisho ya Katiba yamewavuruga wanasiasa ambao tayari walikuwa wamejipanga kwa ajili ya kuwania urais...
Barazani kwa Ahmed Rajabu
Ahmed Rajab
Toleo la 297
5 Jun 2013
JAJI mstaafu Joseph Warioba na Tume yake ya Mabadiliko ya Katiba wametamka na wananchi wamewasikia...
Wakati Mwalimu Nyerere alipokwenda kuonana na Mzee Abeid Amani Karume kuhusu kuziunganisha Nchi mbili huru Zanzibar na Tanganyika alikuwa na dhamira ya kuitawala Tanganyika Maisha. Ili afanikiwe...
Waziri wa fedha william mgimwa yupo bungeni dodoma akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014.hotuba yake inaonyeshwa live TBC1.
nimeisoma na kuielewa vizuri rasimu mpya ya katiba ni nzuri lakini katika hili inabidi tulitazame tena lakini kama haiwezekani iachwe kwa sababu mtoto akilia wembe......
1. Suala la serikali tatu...
Wandugu mimi ni mjumbe wa baraza la katiba la wilaya ila hadi sasa hamna clue yoyote kwa tarehe halisi ya kuanza mabaraza hayo japo tuliambiwa yanaanza mwezi huu wa sita na wiki imeshakatika. Kuna...
Wakuu JF great Thinkers Asalam Aleikuum,
Nipende ku express Feeling zangu kuwa kwa Hali ninayoiona kuna uwezekano Rasimu ya Katiba kipengele cha Serikali 3 Kisipite. Kikwazo kikuu cha Kupita...
Kwa namna muundo wa katiba mpya ulivyo itakua ngumu kuendelea na madaraka kwani kila kitu kitabadilika na tume ya uchaguzi itabadilika na ivo wazee wa kuiba kura kuwa katika wakati mgumu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.