Ngoma inayochezwa na CCM ama mpigaji haijui au anafanya makusudi,nasema hivi kutokana na kuwa mchagua wimbo ndiye humlipa mpiga zumari.Nchi imekumbwa na matukio makubwa ya Watanzania kugawanywa...
Ndugu Wanajamvi,
Najua kuna watu wengi wanalichukulia suala la CUF na Uliberari kirahisi rahisi. Hili suala ni rahisi kwa sasa kwasababu halijaleta madhara bado.
Je umeshawahi kujiuliza kwamba...
Roho yangu ni ngumu kuliko ninavyoweza kuielezea. haswa kwa masuala yanayohusu nchi yangu Tanzania. couse nilijua siku njingi kuwa tanzania ndiye mama yangu mpendwa, na sikupenda abadan kuikosea...
Huyu ndiye Lipumba nyota inayongaa CUF .
, Dar es Salaam
.
TANGU ulipoingia mfumo wa vyama vingi nchini mwaka 1992, tumeweza kuona hali ya mageuzi ikichukua sura mpya kwa jinsi vyama...
Jamani naandika mara ya pili sasa, Nisaidieni Faida za serikali ya shirikisho, na kama inawezekana kwa Serikali ya Shirikisho kufanya kazi kwa kuwa na washirika wawili (Tanganyika na Zanzibar)...
Leo nikiwa kijiweni kwangu hapa Ng'ambo Tabora..mtaa wa Kiyungi-(Asante kwa Air Tanzania mana tunapata sasa magazeti ya leoleo).. Nimepitia Gazeti la Mawio,moja ya habari kubwa ni Mkutano wa...
IBARA 180 (3) (e)
(3) Ili kutekeleza masharti ya Ibara ndogo ya (1) na (2), mamlaka ya nchi itaweka utaratibu wa sheria utakaowezesha:
(e) kuweka utaratibu wa kuandikisha raia wa Jamhuri ya...
Wenzangu wanabodi, hususan wale waliberali, turudini kwenye ile hoja nyingine, maana mntaka kutumia 'kombora' la uliberali kama exit ya zile tuhuma nyeti zinazowakabili CUF na hasa mwenyekiti wenu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad:''Chagueni viongozi wenye dhamira ya iutetea maslahi ya wananchi.''
Written by haki |
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi...
Nimeipenda sana. Kuna baadhi ya vipengele vimenikosha zaidi.
Hebu cheki:
15.-(1) Zawadi au kitu chochote kitakachotolewa kwa
mtumishi wa umma katika shughuli za kiserikali ni zawadi kwa
Jamhuri...
Kuna minong`ono kuwa Rais anakimbizana Nje kupata hela za kuokoa hii budget ambayo hupangwa kwa hela ambzo serikali haina. Yaani hupanga kiujanja ujanjaili wafadhili wadhani jamaa wanayo hela...
Waziri wa Fedha Mheshimiwa Mgimwa ameonyesha busara na ukomavu katika kushughulikia matatizo ya wizara ya fedha na kukabiliana na changamoto zilizopo.
Mawaziri na serikari fateni mfano huu, nchi...
SOURCE; MWANANCHI
Ibara ya 122 ya rasimu hiyo inazungumzia vitu vinavyoweza kuwafanya wananchi kmngoa mbunge.
Inasema wananchi watakuwa na haki ya kumwondoa mbunge wao madarakani kama atafanya...
Ninaamini kabisa serikali inaweza kuwa na fund ya kuwalipa hawa wenzetu kila mwezi maana hawana namna nyingine
ya kuweza kufanya kazi au kulima huko vijijini.
Hata wakilipwa robo ya kima cha...
Nawatahadharisha CHADEMA kuwa makini na mchezo mchafu utakaofanywa na CCM,CUF wa CCM kulipa gharama za kampeni za CUF na CUF kuwaachia kura zao wakati wa majumuisho kama Igunga.
Wadau,
Nimeisoma ibara ya 113(kama ilivyonukuliwa hapa chini) na nikarudia tena na tena lakini sijaielewa. Aliyeielewa tafadhali anitoe kizani.
Utaratibu
wa
kutunga
sheria
kuhusu
mambo
ya...
Aslam alykum wanajf,
*Tangu nimepangwa kufundisha shule moja Iramba ktk kijiji alichozaliwa mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi,kijiji cha Makunda,nimeendelea kumlaumu Mungu kwanini amenichagua...
WAZIRI wa Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, jana alizuiwa na walinzi wa Bunge kuingia ukumbini kutokana na kuvalia mavazi yanayokiuka kanuni zinazoliendesha Bunge.
Simba ambaye pia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.