Spika makinda amewashangaa Komba na Mwigulu ambao ni wahesihimiwa wabunge,
Wameandika majina yao wenyewe badala ya kuweka tick, wameweka tick na majina yao.
My take: hawa ndio CCM makini wanao...
Maoni yangu kama ningekuwa karibu na warioba. Naunga mkono serikali tatu ila kuwe na raisi mmoja wa jamhuri wa muungano, kuwe na waziri mkuu wa tz bara na waziri mkuu wa zenji. Raisi wa muungano...
Nimemwona katika luninga, ITV , na kumsoma vizuri Katibu Mkuu wa CCM, juu ya rasimu mpya ya katiba na msimamo wake kichama.
Naona Kinana anajaribu kutembea katika mto wenye mawe ya utelezi...
Akichangia bungeni leo, Joseph Selasini anasikitika jinsi fedha inavyotumika vibaya katika halmashauri mbalimbali hapa nchini. Hv rim ya karatasi A4 inanunuliwa kwa 40,000? ni halali? mbona...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hammad amekirushia kombora Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kile alichodai kinapoteza mwelekeo kutokana na fujo nyingi...
muda huu wakati anachangia kupitisha bajeti ya fedha amemsifu wazir MGIMWA na kuomba mawazir wengine kumuiga. je? hajavunja amri ya MH ZITO KABWE ya kuisifu serikali
Wabunge wetu katika bunge la Tanzania tujifunze kujieleza kwa kiingereza maana inatisha na kutia kinyaa. Leo kuna wabunge kadhaa pamoja na madam speaker wamekua wakijikoroga kujieleza kwa kimombo...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani, kimewasimamisha uongozi viongozi wake kadhaa wa Wilaya ya Bagamoyo, kutokana na madai ya kuuza kwa mwekezaji eneo linalosemekana kuwa ni mali ya chama...
Mh.Mwigulu Nchemba akipokewa na wanachama wa CCM waliojitokeza viwanja vya Shule ya Msingi Erelai kata ya Erelai mkoani Arushahii leo wakati wa kampeni za kumnadi Mgombea Udiwi kwa tiketiYA CCM...
Nakumbuka wabunge wa CHADEMA wa Ukerewe, Salvatory Machamli na wa Ilemela Highnes Kiwia walijeruhiwa vibaya mwaka jana nusu ya kuuawa na vijana wa CCM kwakua ilikua ktk kipindi cha uchaguzi mdogo...
Habari wana Jamvi, Mbunge wa jimbo la Rorya mh.Lameck Airo ni miongoni mwa wale waheshimiwa ambao ni nadra sana kusikia michango yao bungeni, haya ni mapungufu yake. Nimesikitika kusoma habari...
Gazeti la nipashe la tar 7 june, 2013 limemnukuu mbunge wa Mbozi magharibi bungeni, na haya ni maneno yake 'Zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya taifa limekuwa likiendelea lakini hadi sasa...
Nimeipitia rasimu ya Katiba mpya iliyosomwa na Warioba na nimeshangaa kuona kwamba inapendekeza Rushwa na Ufisadi vishughulikiwe na Polisi. Warioba alikuwa mwenyekiti wa tume iliyoitwa kwa jina...
Huwezi kuamini, lakini ndivyo ilivyo. Nimedokezwa Jana mkazi wa Nyamongo Tarime mkoani Mara, CHACHA KIGUHA BABERE aliupandisha mahakamani kwa mara ya kwanza uongozi wa mgodi wa Afrikan Barrick...
Lowassa: Serikali iwawezeshe wanawake kiuchumi
Dodoma. Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, amesema kuna haja kwa taifa kuwawezesha wanawake kiuchumi kwa kuzingatia mchango wao mkubwa katika...
Ndg wana bodi kesho Chama cha Mapinduzi tawi la Ng'hona Education watafanya uchaguzi.
Uchaguzi huo umebeba hamasa kubwa kulingana na Wagombea wa nafasi ya Uwenyekiti.
Katibu wa CCM tawini...
Wandugu
Hebu jioneeni wenyewe hiki kinachoandikwa kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Si maneno yangu.
77.-(1) Katika Uchaguzi wa Rais, kila chama cha siasa
kinachopenda kushiriki katika uchaguzi wa...
Ama kweli siasa ni mchezo mchafu. Eti Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba ameanza kumfanyia rafu mbaya za kisiasa kaka yake wa tumbo moja, Injinia Adriani Tizeba ili asishinde uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.