Sioni sababu za serikali kuendela kukumbatia wapigaji katika sekta ya madini, wanatuharibia biashara


Zekidon

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Messages
1,883
Likes
55
Points
145
Zekidon

Zekidon

JF-Expert Member
Joined May 29, 2013
1,883 55 145
Kumekua na wimbi kubwa sana l awapigaji(matapeli ) katika sekta ya madini, hapa nchini kiasi kwamba hakuna tena any foreign investor mwenye hamu ya kufanya biashara na watanzania katika sekta ya madini, biashara imekua ngumu sana.

Matapeli hawa wengi wao ni wakongo wakishirikiana na watanzania, na baadhi ya askari wenye tamaa ya fedha, mbinu mbali mbali zimekua zikitumika kuzima kesi pale hawa wageni wanapolizwa ili kuzima madai yao, corrupted police men have been bribed na kutumia nafasi zao kupoteza ushahidi.

This is clearly a stubbl;ing block kwa watu wenye haja ya kufanya biashara ya ukweli, matapeli wamezidi, serikali ifanya juhudi kubwa kuwapunguza unless otherwise tunazidi kukosa mapato na biashara. Hili linanikera kwakweli.
 

Forum statistics

Threads 1,273,525
Members 490,428
Posts 30,484,172