Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Christopher mtikila amesema kuwa ataenda mahakama ya kimataifa kwa ajili ya kufungua kesi kuhusu rasimu ya katiba kutoitambua tanganyika.....hapa namuunga mkono mia kwa mia. Mtakubaliana nami kuwa...
10 Reactions
68 Replies
8K Views
Ni dalili yakuishiwa mvuto, hoja, na sera zilizomakinika CCM kuita viongozi wa kitaifa ambao wamezoea kutukana waende mbeya. Tahadhari ni hii kama ameandaa matusi asitukane kwani watu wa Mbeya ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Akizungumza kwenye mahojiano maalumu na Gazeti la RAI, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Profesa Abdallah Safari, alisema iwapo Chadema itakamata madaraka ya uongozi nchini, basi nyumba hizo...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 20 July 2011 HATIMAYE Rostam Adulrasul Aziz ameandika historia. Ni kwa kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hii ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni waktai wa majadiliano ya wizara ya fedha, hivi kumbe hawa watu wakiwa nje wanayaona? Jamaa alikuwa anachangia kwa ustadi wa hali ya juu na umakini wa kutosha.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo,umeanza upotoshaji kuwa eti Marais wa zamani wa Tanzania,Ali Hassan Mwinyi na Benjamini Mkapa,kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wataruhusiwa kugombea urais...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
NAFASI ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na naibu wake imefutwa katika Katipa Mpya ijayo badala yake Spika wa Bunge na Naibu wake hataruhusiwa kuwa Mbunge wala mwanachama wa Chama chochote...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Mhe. Waziri Steven Masatu Wasira kwa muda huu anazungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha SAUT. Anazungumzia mpango wa maendeleo unaotekelezwa na Serikali. Na sasa ananadi wasifu wake juu ya elimu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Zipo hoja kuu mbili kupinga utawala wa majimbo: Mfumo wa majimbo utakuza ukabila na ukanda Mfumo wa majimbo utaongeza gharama za uendeshaji Kabla ya kujadili hoja hizi, kuna mambo makuu...
1 Reactions
0 Replies
698 Views
Juzi Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji(rtd)Joseph Sinde Warioba alitangaza uzinduzi wa Rasimu ya Katiba mpya kwa mbwembwe nyingi na hakika imepokelewa kwa mikono 2 na Watanzania...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
The National Assembly of the Republic of Malawi: To subpoena President Joyce Banda and Mr Ephraim Mganda Chiume We the people of Malawi; Concerned with the: 1. Statement by the...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania has dismissed Malawi's protests against the alleged deployment of two ships on Lake Malawi saying that the vessels are meant for lake Nyasa and not in the disputed territory of the lake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1. Mamalaka ya rais kuteuwa viongozi wa juu yaishie ktk ibara zifuatazo tu: Ibara ya 69(2)(e): kuteua wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama Ibara ya 69(3)(c)-(e):kuteua mawaziri na manaibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na Waandishi Wetu, Mwananchi Posted Jumatano,Juni5 2013 saa 19:53 PM KWA UFUPI "Ukiangalia kwa haraka, hivi Serikali ya Tanganyika itakuwaje? Bunge la Tanganyika litakuwa la namna gani na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika kuchangia maoni ya rasimu ya katiba mpya,alisema mfumo wa serikali tatu hauwezi kumfanya ajulikane nje. Sasa najiuliza,anagombea ili ajulikane nje au kwa ajili ya kuwatumikia watanzania...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Imefahamika kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa Tume ya katiba kuwa kiongozi wa Serikali ya Tanganyika atajulikana kama Waziri Mkuu, vile vile kiongozi wa Serikali ya Zanzibar atajulikana kama Waziri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sura ya 1 Ibara ya 1(4) ya Rasimu ya Katiba Mpya inasema ''Tanganyika itaitwa jimbo la Tanganyika na Zanzibar itaitwa jimbo la Zanzibar na kila jimbo litaongozwa na Gavana'' Hii ni sera ya CHADEMA...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Mshangao mwingine niliouona katika rasimu hii ya katiba ni misingi ya kijamaa. Misingi inaonekana katika masharti ya viongozi kama wabunge kumiliki mali. Leongo na vipengele hivyo ni kuwafanya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo akichangia hotuba ya Wizara ya elimu,kama kawaida yake mh Mwigulu aliacha kuchangia mambo ya msingi ktk hotuba iliyokua mezani ya Mh Mulugo waziri wa Elimu na badala yake akaanza kutoa Vijembe...
5 Reactions
160 Replies
11K Views
TANZANIA NA RASIMU YA KATIBA MPYA 2013 Si mbaya kwa watanzania kuwa na maamuzi makubwa ndani ya katiba wanayotaka iitawale nchi kwa sasa. Ni jambo jema na wengi tumeona Rasimu na kwa mtizamo...
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Back
Top Bottom