Tangu Raisi Kikwete aingie madarakani teyari kuna idadi kubwa ya mawaziri walioshinikizwa kujiuzulu au kulazimika kutemwa katika baraza la mawaziri kutokana na tuhuma mbalimbali zikiwemo...
Maelfu ya Wananchi wa Morogoro waliojitokeza kumzika msanii Albert Mangwer jana walijikuta wakishindwa kujizuia kuonesha mapenzi yao kwa CHADEMA kwa kulipuka kwa shangwe pale gari ya viongozi hao...
wapenda wana JF hii rasimu ya katiba kweli ni nzuri ila kuna mambo kama mabaraza ya katiba yasiporekebisha na ikapita hatimaye ikaleta katiba mpya basi utsatokea mgogoro wa kikatiba
moja kati ya...
Pamoja na malalamiko kibao uya walimu juu ya serikiali kuwatelekeza kwa kuwalipa mshahara kiduchu bila hata marupurupu,serikali juzi ilipitisha bajeti bila mikakati ya kuboresha maaslahi ya...
Ninasikitika kuwatangazia kuwa, bwana Obadia Lubugo kamanda wa CHADEMA, ambaye pia ni mwenyekiti wa kijiji cha Udekwa kilichopo wilayani Kilolo katika mkoa wa Iringa alikamatwa jana 06/06/2013 kwa...
Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Said Mwema, leo amefanya mabadiliko ya makamanda na wakuu wa upelelezi katika baadhi ya mikoa hapa nchini.
Katika mabadiliko hayo aliyekuwa Kamanda wa Polisi...
Ndugu wadau hii imekaaje? au ndiyo siri ya kutaka serikali tatu?
SURA YA SABA
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA
SERIKALI, RAIS NA MAKAMU WA RAIS
Haki ya
kuchaguli
wa tena
76...
rais jakaya kikwete, amevutiwa na maendeleo makubwa yaliyofikiwa na serikali ya singapore, katika kujenga uchumi wake na suala zima la mipango miji. Rais kikwete alisema singapore imepiga hatua...
Kesi iliyokuwa inamkabili Mbunge CCM Mbarali ambaye alikuwa katika kambi ya wapinga mafisadi alikuwa anakabiliwa na kesi ya kutishia kuua amefungwa miezi 10 na hivyo kuachia kiti kama sheria za...
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amepinga mapendekezo ya rasimu yanayotaka Spika na msaidizi wake wasitokane na vyama.
Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa aliiambia...
Nimefuraishwa na mapendekezo ya majimbo ya uchaguzi kupunguzwa sana.
Faida zake
ghalama za kuendesha serikali kushuka.
2.wajumbe kupata muda wa kutosha kuchangia
3.kupunguza wabunge...
Wakati akihojiwa na mwandishi wa TBC kuhusu maoni yake baada ya kutembelea chuo cha ufundi huko singapore katika ziara ya Rais kikwete leo hii, amekiri serikali kufanya ujinga kwa kubadilisha vyuo...
Nina siku ya Tatu sasa naipitia Rasimu ya katiba yetu ili nione kama hili suala la haki ya kuchinja vitoweo limegusiwa kwa namna yeyote ile, maana naogopa isije katiba ikapita bila kugusia hii...
Vyama vya siasa vyenye idadi ndogo ya wanachama nchini vimekubali hatua ya kuungana na kuwa Muungano wa vyama (Alliance) kwa lengo la kupata nguvu ya uwakilishi wa kuingia katika Bunge Jipya la...
serikali ya CCM imeshindwa kabisa kutatua kero mbalimbali za waislam nchini,
Kuna kelele nyingi zinapigwa kuwa CHADEMA kina mtizamo hasi katika mambo ya Waislam,
sasa maoni yangu ni kuwa CHADEMA...
Vitendo vya kuboa nyumba za wananchi ili kupisha miradi ya wawekezaji vinaongezeka hapa Tanzania. Takribani kila wiki kuna taarifa za wananchi au mwananchi kubomolewa nyumba bila hata mali zake...
Napata walakini Kuwa Tume ya Warioba haikwenda Zanzibar!!Na kama ilikwenda haikufanya kazi iliyowapeleka!Na kama iliifanya basi haikuwawakilisha mawazo yao kwenye Rasimu hii!!
Kama kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.