Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni takribani mwaka mmoja sasa na zaidi tangu Serikali kupitia manispaa ya ILALA ilivyotangaza kuuza viwanja maeneo ya Kinyerezi jijini Dar es salaam na kukusanya mabilioni ya shilingi kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo mengine yakitokea huibua hisia za kusononesha miongoni mwa jamii badala ya kufurahisha kutokana na taathira yake kwa jamii. Hivi wenzetu wanaposema wananunua laptop 1,300,000 kwa mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Tume ya katiba imenichanganya, imenishangaza na imeniacha hoi..Nani alitoa maoni ya serikali TATU?? je ni asilimia ngapi?? Wananchi wangapi wa kawaida wanaujua muundo huo.?? Kama katika muundo huu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA Mhe. Freaaman Mbowe atawahutubia wakazi wa kata ya Genge na Tengeni wilayani Muheza katika mwendelezo wa kampeni za uchaguzi wa marudio unaotarajiwa kufanyika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Inauma na kutia simanzi kuona taifa kama Tanzania linazidiwa nguvu ya uchumi na nchi kama Rwanda na Kenya licha ya kuwa na rasilimali lukuki ukilinganisha na nchi hizo. Kenya wanaingiza mapato...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Mgombea udiwani Kata ya Elerai Manispaa ya Arusha kwa tiketi ya Chama cha Tanzania Labour(TLP), Boysafi Peter Shirima jana alitangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro hicho na kujiunga na Chama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Suzana Lyimo ,ameitaka Serikali kuwapeleka mahakamani marais wanaoshindwa kutimiza ahadi zao hadi wanastaafu. Lyimo alitoa pendekezo hilo jana bungeni alipouliza...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tangu litokee sakata la kutekwa kwa Kibandana baadaye kuja kukamatwa kwa Kamanda Lwakatare! Kwa kweli ukifuatilia picha hii kwa kina utaona kuwa ni mpango mkakati mchafu wa serikali wa kutaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika rasimu iliyozinduliwa Juni 03,2013 ili wananchi tuijadili na kutoa maoni kwa njia ya Mabaraza ya Katiba; kuna suala la Muundo wa serikali tatu. Mosi; nimejuiliza kwa nini Tume ilipendekeza...
0 Reactions
3 Replies
827 Views
Mwaka jana wakati wa sekeseke la ukosefu wa mafuta kutokana na wafanyabiashara wa mafuta kupinga formula iliyokuwa ikitumika kupangia bei ya mafuta,chombo cha juu kabisa cha utendaji cha ccm...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Takribani miaka minane sasa tangu CHADEMA kipate jina na umaarufu nchini. Hapana shaka kuwa,si Bob Makani wala Mbowe,waliokipa sifa na umaarufu nchini,Bali ni Zitto Kabwe,na Wilbroad Slaa,katika...
1 Reactions
139 Replies
9K Views
ameemanisha kuwa ccm haitishiki na umati wa watu na vijana wanaojaa katika mikutano ya chadema huko arusha-kwani mwisho wa siku ccm itaibuka na ushindi. aliendelea kusema kuwa hatuna haja ya kuiba...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Hali si shwari nachingwea, ccm watumia gari t820bja kuuwa viongozi wa cdm kwa lengo la kujipatia ushindi, wanamwaga damu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa siasa zinafanyika kweli. Siasa ni hoja,mbinu na mikakati.Maneno yakutosha;sera za ‘kumwaga';wagombea wenye 'sifa', nia kweli na vyama vyenye ushawishi mkubwa. Hii sasa ndiyo siasa...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya uwasilishaji wa bajeti ya sirikali jioni hii mtangaji wa TBC alikuwa akiwahoji wabunge mbalimbali kuhusu maoni yao juu ya bajeti hii. Katika pita pita yake kakutana uso kwa uso na...
6 Reactions
53 Replies
6K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kuna kila dalili kuwa rasimu ya Katiba Mpya iliyozinduliwa kwa shangwe na vigelege siku chache zilizopita inaonekana kukubalika na watu mbalimbali. Wanasiasa na wasio...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Japokuwa mimi si muumini wa kutembeza bakuli nje ya nchi, lakini kwa kuwa Rais wetu amesema asipofanya hivyo, watoto wake tutakufa njaa, sina budi kuchukua nafasi hii walau kumsaidia kuomba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawakimbiza cna leo mkutano kijenge juu nimepiga sera nawashukuru cna hapo baada yamkutano wananchi wamechanga laki nne nakumi mungu awabariki watu wakimandolu hapo kamanda bahati naesabu hela...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndungu Wanajamvi, Sote tunazijua sababu za kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki mnamo mwaka 1977.Leo,mambo yaleyale,kutoka kwa watu walewale yanahatarisha uwepo wa Jumuiya hii.Uundaji wa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
For those of you who have been reading newpapers listening on Radios and watching tv you have heared of some news about improved inflation figures....Forinstance last year it was said that...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Back
Top Bottom