kuna watu wengi sehemu mbalimbali za nchi hufanya kazi za udalali na pia wengine wana ofisi zimeandikwa kama vile dalali wa viwanja,dalali wa vyumba ,dalali wa mazao nk.naomba mnijuze hivi hawa...
Kiukweli ukiitazama hii bajeti utaona kabisa huyu waziri ni janga lingine
la Taifa.....
hakuwahi kuongoza chochote huko nyuma
sasa ghafla anapewa uchumi wa nchi kuongoza,matokeo ndo haya
unaongeza...
Naibu katibu mkuu akijadiliana jambo na mmoja wa wazee wa CCM kata ya kaloleni jioni hii kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi wa udiwani Jijini Arusha
Kada wa chama cha...
Serikali ya CCM imeandaa bajeti ambayo ina mlenga zaidi mlala hoi kwa maana ya kumpunguzia mzigo wa kodi huku ikiwabana wenye vipato vya kati na vya juu!!
Katika bajeti hii ya serikali ya mwaka...
Tokea kuisha kwa uchaguzi mkuu wa 2010 na Chama cha Mapinduzi kikiwa ndicho kilichopata ridhaa ya Watanzania kuunda serikali kwa miaka mitano,huku Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kikipata nafasi...
Matukio mawili yafuatayo ya hivi karibuni yanaiabisha sana serikali ya CCM, kwani yanaonyesha bila shaka yoyote udhaifu wa serikali ya CCM -- na kudhihirisha Watz kwamba kweli serikali hii ni...
Katika hotuba hiyo amewataka wananchi wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura na waondokane na hofu yoyote kwa vile usalama umeimarishwa vya kutosha.
Nape amewaomba wananchi wazitumie vizuri haki...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kesho anatarajiwa kufunga kampeni za Udiwani katika kata Mbalimbali za Mkoani Manyara na Arusha kwa kutumia helicopter.
Mbowe anatatajiwa kuhutubia mikutano...
At the end of May 2013, the Tanzanian parliament was told that Tanzania would acquire six passenger ships, which would be deployed on Lakes Malawi (Lake Nyasa as it is known in Tanzania)...
wakuu wa Jf. Tupo kwenye mkutano Wa hadhara Kata ya Mianzini Mtaa Wa machinjioni Shuleni. Kutokana na kauli ya jana na leo ya kamanda Kilewo Katibu wa Chadema Kanda ya Dsm juu ya Uleberali...
Obamas ill-advised visit to Tanzania
By Dana Milbank,June 09, 2013
When President Obama goes to Africa at months end, the first African American president will have a rare opportunity to spread...
kATIKA KILE KINACHO ITWA MOVEMENT FOR CHANGE, KIJANA GODSON MBAGA Ameendelea kukonga nyoyo za wananchi wa jimbo la same magharibi kwa mikutano anayoendelea kuifanya jimboni, Hali hii imesababisha...
Kumekuwepo na taarifa zinazosambazwa kwa njia mbalimbali za upashanaji habari tangu jana juu ya vitu viwili ambavyo vyote vinamhusu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Ndugu Wilfred...
Miaka michache ijayo tutashuhudia CCM ikiungana na vyama vikongwe duniani kuingia katika vitabu vya HISTORIA, vya kiada na ziada, vya kufundishia shule za msingi na sekondari na vyuo...
Lala salama ya uchaguzi mdogo wa kata, Mbowe kufunga kazi kwa Lowassa kwa helkopta. Baada ya kuzungukia kata mbalimbali kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika mikoa ya Mbeya, Iringa...
Kumekuwa na maoni tofauti toka kwa watu na taasisi mbali mbali ya kumpongeza na kupinga Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Sintakwenda kwa undani sana lakini nitajikita...
Nikiwa mwanachama wa CCM na mfuatiliaji duru la kisiasa kwa miaka mingi sana. Kwa katibu mkuu wa CCM kutokwenda kuokoa jahazi la CCM Arusha imenistajabisha sana. Imenifanya niwakumbuke makatibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.