Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Asubuhi hii Mzee wa harambee Mh. E L yupo hapo MUCCOBS kuongoza harambee ya SACCOS ya waalimu wa Moshi vijijini katika harambee hiyo yupo pia anayejiita mlezi wa SACCOS hiyo MB. wa Moshi vijijini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Zikiwa zimesalia dakika za majeruhi kipenga kupulizwa,ili kujua nani mbabe wa siasa za Arusha kwa awamu hii,Katibu Itikadi na Uenezi atoboa Siri ya Dr Slaa kuwapo nje ya Nnchi na agenda Yao mpya...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Ndugu zangu Mzee Timoth Apiyo amefariki dunia usiku wa jana akiwa katika matibabu South Africa katika Hospitali ya Mill Park South Africa. Serikali ikishirikiana kwa karibu na ubalozi wetu South...
8 Reactions
103 Replies
25K Views
Waungwana, Nimejaribu kutafuta iliyokuwa sarafu ya Tanganyika kabla ua ukoloni wa Kijerumani, kwa bahati mbaya sikuweza kuiona bado. Nina waomba Watanganyika wanaodhani kwamba Tanganyika haikuwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello Tanzania,najua hili ni jukwaa linalotembelewa na watu wengi wakiwamo wapenda nchi ya Tanzania kwa dhati. Natamani na ni naamini Tanzania siku moja itakuwa super power in Africa and in the...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hainiingii akilini kuona mtu anayedai kua ngome ni yake bado akitumia nguvu zake zote kupiga kampeni, je kule ambako si kwake inakuwaje. Nakumbuka humu baadhi ya members wakidai CDM itashinda...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Leo tukiwa tunaenda job asubuhi kwa gari lakzini ( Staff bus) tukawa tunasikiliza dondoo za magazeti mara kikasomwa kichwa cha habari katika gazeti la Raia Mwema chenye muundo wa swali kuwa "JK...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Kwa Mujibu wa Vipaumbele vya bajeti ya 2013/2014 kama ilivyosomwa jana Elimu na Afya ni za mwisho. Kilimo ni Kipaumbele number NNE. Je kweli Tutafika? Ni wazi kuwa karibu asilimia 80 ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikiwa imebaki siku moja ya kufanya kampeni then siku ya jumapili 16 kupiga kura, siku ya kesho jumamosi 15 Arusha na viunga vyake itazizima baada ya ujio wa kamanda wa anga mh Freeman Aikael Mbowe...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukumbi na Nkrumah tarehe 21 juni 2013 saa 8:00 mchanampaka 12:00 jioni, muhubiri ni Prof. Issa Shivji wa Kigoda Cha Taaluma Cha Mwalimu Nyerere - Chuo Kikuu Cha Dar es salaam
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutokana na kuongezeka kwa kesi zinazokataliwa dhamana katika mahakama zetu na kulazimisha watu kukaa mahabusi kwa muda mrefu kwakisingizio cha eti hakimu yupo likizo, taasisi za serikali kuzembea...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Kwa vyovyote vile, kuundwa kwa serikali ya Tanganyika/Tanzania Bara haizuiliki tena. Kwa kuwa kutakuwa na Rais/kiongozi wa Tanganyika kama alivyo Rais wa Zanzibar, nadhani ni muda...
4 Reactions
108 Replies
7K Views
Ingawa hatujabahatika kuwa Na Muungano Tanzania, hiki kidogo kinachoitwa MUUNGANIKO nacho pia Chama Changu CCM mnataka kukiangamiza. KWANINI CC ya Chama, ichoke kutafakari? Mchoke kugundua...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Mh:Mwigulu Nchemba akiwasili viwanja vya mtaa wa Kitiengare kata ya Kimandolu Arusha mjini kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani. Mapokezi makubwa sana ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Siasa za Tanzania zimekaa kisanii sana,kila mtu anayejiona ana uwezo wa kulaghai hujitafutia tiketi ya kuingia Ikulu ama Bungeni.Hakuna sheria yoyote kwa ajili ya hawa watu hasa inapotokea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) linatarajiwa kufanya kongamano kubwa la hali ya elimu na mustakabali wa taifa la Tanzania mjini Dodoma siku ya Jumapili ya tarehe 9.06.2013 katka ukumbi wa...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
nilidhani baada ya kikwete kutoa rai yake pale Adis ababa kuwa kagame akae na wapinzani wake kuondoa usumbufu kwa tanzania na bara letu kiujumla......kagame kwa upole angetoa rai kama ifuatavyo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba kujua Dk William Mgimwa ana PhD ya nini maana profile yake inaonesha kiwango cha juu cha elimu alichofikia ni masters degree. Naomba kujua kama ni phd ya heshima au ya kitu gani.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hakuna binadamu mkamilifu. Hata yesu alikuwa na mapungufu yake. Yawezekana huyu kiongozi akawa moja ya watu wenye udhaifu kwa namna moja au nyingine kama binadamu. Lakini pale kiongozi...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Mmoja wa wasemaji na wana propaganda wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Tambwe Richard Hizza ambae alikuwa kimya kwa muda mrefu, amekusudia kurudi kwa kishindo katika harakati zake za kukisemea Chama...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom