Makamanda kimandolu tumeshinda

Makamanda kimandolu tumeshinda

Bahati1

Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
39
Reaction score
11
Nawakimbiza cna leo mkutano kijenge juu nimepiga sera nawashukuru cna hapo baada yamkutano wananchi wamechanga laki nne nakumi mungu awabariki watu wakimandolu hapo kamanda bahati naesabu hela wameleta mawaziri wabunge nawapeleka mpaka wamekubali yesu ni bwana watapokea cmu air port au dar tunashinda asilimia 95 mapambano yanaendea uploadfromtaptalk1371139521519.jpg
 
Asante kwa kutujuza,watu wa Kimandolu wananunua ukombozi kwa laki nne na kumi.Ala ala msije mkakataa matokeo tu Juni 16.
 
Leo nimeamini ccm arusha hawana chao pamoja nakuja nepi na nchemba na mbunge mropokaji sendeka.mikutano yao umefunikwa na machali wa chadema,bahati molell na kamanda magoma wakisaidiana na makanda msuya
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371140530408.jpg
    uploadfromtaptalk1371140530408.jpg
    50.9 KB · Views: 166
  • uploadfromtaptalk1371140569474.jpg
    uploadfromtaptalk1371140569474.jpg
    61.9 KB · Views: 147
  • uploadfromtaptalk1371140611057.jpg
    uploadfromtaptalk1371140611057.jpg
    81.7 KB · Views: 134
wakuu mi nashauri ccm siku moja wachangishe hela za kampeni kama chadema, tuone ni kweli wana watu? mi naona wanaliwa hela bure wasubiri waone
 
Leo nimeamini ccm arusha hawana chao pamoja nakuja nepi na nchemba na mbunge mropokaji sendeka.mikutano yao umefunikwa na machali wa chadema,bahati molell na kamanda magoma wakisaidiana na makanda msuya

Hivi ni bahati gani unayemwongelea hapa? Isikute ni yule dereva tax wa philips maana nimepewa ishu zake zote leo. Embu tafadhali nithibitishie kama ndio yeye na ndio mliomfanya meneja kampeni wa chadema kimandolu.
 
Kila la kheri makamanda wa Kimandolu. Kazi yenu wana Arusha ni kubwa sana hadi ccm wameamua kuhamishia serikali huko lakini bado tu wanaambulia vumbi.
 
Asante kwa kutujuza,watu wa Kimandolu wananunua ukombozi kwa laki nne na kumi.Ala ala msije mkakataa matokeo tu Juni 16.

Nyerere mwenyewe alichangiwa na baba ake Mohamed Said sembuse Bahati
 
Last edited by a moderator:
YESU tena,kwenye siasa unaharibu.Sema MUNGU

Wewe unaumwa kifafa nini?Yesu atosha when u say just Yesu umemaliza kila kitu,kama hutaki ka...kam...ua...ne na Mwigulu Mchemba au Kikwete
 
Wewe unaumwa kifafa nini?Yesu atosha when u say just Yesu umemaliza kila kitu,kama hutaki ka...kam...ua...ne na Mwigulu Mchemba au Kikwete

ni diwani wa watu wote dini zote kumbuka!sigara kubwa ya meru imekuchanganya nini mkuu?huoni hata wana jf hapo juu wanatumia mungu
 
kuna mpango wa kisayansi unafanyika kwa sasa na kwamba ccm wameshashinda kata zote...Ar...
 
Leo nimeamini ccm arusha hawana chao pamoja nakuja nepi na nchemba na mbunge mropokaji sendeka.mikutano yao umefunikwa na machali wa chadema,bahati molell na kamanda magoma wakisaidiana na makanda msuya

We gwanda chakavu nijibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom