Hivi CCM na Serikali yenu mmekosa maarifa mbadala?!

Miwatamu

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Messages
1,451
Likes
15
Points
133
Miwatamu

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2012
1,451 15 133
Tangu litokee sakata la kutekwa kwa Kibandana baadaye kuja kukamatwa kwa Kamanda Lwakatare! Kwa kweli ukifuatilia picha hii kwa kina utaona kuwa ni mpango mkakati mchafu wa serikali wa kutaka kufifisha nguvu za vyama vya siasa na kufunga midomo ya wanahabari na vyombo vyao ambao kwa kina wameamua kuielimisha jamii nini maana ya siasa za vyama vingi.
Tukiacha hilo, jambo kubwa lililostua ulimwengu ni lile la Kamanda Lwakatare kuhusishwa na UGAIDI. Kama haitoshi, kijana shupavu na msema ovyo wa CCM!! Mwiguru akaibuka na kudai kuwa mashitaka dhidi ya Lwakatare ni hakika na ushahidi wa kina juu ya jambo hilo anao na yupo tayari kuutoa mbinguni na duniani, Sasa kama ni hivyo kwa nini polisi walishindwa kuchukua ushahidi wa Mwigulu na kumtia hatiani moja kwa moja Lwakatare na badala yake wamemrundika selo kwa kipindi cha RObo mwaka pasipo kumfungulia mashtaka pamoja na wapambe kujitokeza kutoa ushahidi, Je, hii ni nini?
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,335
Likes
339
Points
180
Age
28
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,335 339 180

mkuu ungekuwa na sura hata aibu basi kama ulisoma ile ripoti ya wanahabari kuhusu kutekwa kwa kibanda chadema wametajwa kuhusika kumteka kibanda hakuna sehemu hata moja ambayo serikali imetajwa halafu wewe unataka kutudanganya.
 
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
911
Likes
13
Points
0
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
911 13 0
Acha watumie hizo mbinu chafu ili wananchi tuendelee kuwachukia
 
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
911
Likes
13
Points
0
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
911 13 0
mkuu ungekuwa na sura hata aibu basi kama ulisoma ile ripoti ya wanahabari kuhusu kutekwa kwa kibanda chadema wametajwa kuhusika kumteka kibanda hakuna sehemu hata moja ambayo serikali imetajwa halafu wewe unataka kutudanganya.
Wewe ndio unajua kusoma peke yako?...kwani ripoti iliandikwa kwa lugha ya kihispaniola kwa watanzania wengi hatukijui?...hata mimi niliisoma, sivyo unavosema wewe. Unaelimu gani kama ulishindwa kuchambua ripoti ambayo haina fumbo hata moja?...kweli wewe gamba,jivue upate kufunuliwa uelewa wako
 
Forum statistics

Threads 1,272,590
Members 490,036
Posts 30,454,479