Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Matukio mengi yanatokana na usaliti wa vyombo vya ulinzi,vimekuwa vikitumika kwa maslai ya chama au watu wachache ivyo vyombo ivyo vinakosa nguvu ya kufanya kazi kwa uaminifu,hasa serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Kwanini polisi waliwapiga watu risasi za moto waka watu wanajiokoa? Wamepigwa watu zaidi ya 3 waliopigwa risasi ya moto tumeokota maganda mawili ya risasi. Pili kwanini madaktari wa Mount Meru...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Polisi Mkoani Arusha wamefanya kituko cha karne cha kumzuia mtuhumiwa wa kurusha bomu asikamatwe. Gazeti la mwananchi linaandika, "Taarifa zilidai kuwa kuna mtu alionekana akirusha kitu...
1 Reactions
2 Replies
867 Views
Hakika baba wa taifa angelikuwa hai leo hii angeukemea na kuukosoa utawala wa Kikwete na pengine hata angerudisha kadi ya CCM.Ukweli ni kwamba yanayofanyika chini ya utwala huu wa JK ni hatari kwa...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Tangia kutokea kwa mlipuko wa bomu hapo jana ktk mkutano wa kampeni wa chama cha Demokrasia na Maendeleo,na kupoteza maisha ya watu 3 huku zaidi ya 60 wakijeruhiwa vibaya,Mkuu wa mkoa Magesa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JB, Leo hii ninaomba tujadili tatizo kubwa linalotusumbua Tanzania la dhuluma za kila mara inayofanywa na kundi moja la Watanzania dhidi ya jingine lakini malalamiko yake hayasikilizwi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kufuatilia sana tukio la Arusha na kuhusisha matukio mengine yalipopita yakiwemo mlipuko wa Bomu kanisani,Kupigwa risasi padre Mushi kuuawa kwa Mchungaji Geita, Kutekwa Kibanda, Kutekwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa TLP Agustino Lyatonga Mrema amesema kwamba hana mpango wa kugombea Urais 2015 kwani hana Mtaji na kuwa atamuunga mkono Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa...
1 Reactions
98 Replies
9K Views
waheshimiwa wana JF nawasalimu sana and nawaomba msaada, nimetumia jukwaa la siasa kwani najua watu wengi wapo huku compared to the rest!! Ninafanya utafiti kwa ajili ya article yangu ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wanajf jana jioni ilikuwa siku ya mavuno zimemwagwa hela eneo lablock"t" na maendeleo kwa ajili ya kuhonga vijana wamchague mgombea wa ccm. Ilikuwa ukionyesha shahada tu unapewa elfu kumi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wakuu wachi walioalikwa kuhudhuria mkutano wa nchi zenye Viwanda Vingi G8,mkutano unaanza kesho UK. Source: ITV my Take; Safari kama hii ina Tija gani,na Jk...
2 Reactions
86 Replies
7K Views
Uchaguzi mdogo wa madiwani kwa kata nne za hapa Arusha (elerai, themi, kimandolu na kaloleni) zimeahirishwa hadi tarehe 30.06.2013. Vifaa vya uchaguzi vimehifadhiwa na hakutakuwa na kampeni tena...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naibu katibu Mkuu wa CCM Tanzania bara Mh.Mwigulu Lameck Nchemba Madelu akiwasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa udiwani Jijini Arusha kata ya kimadolu hii leo tar.15/06/2013...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Habarin wanabodi.... Kumekuwepo na wanasiasa wengi katika vyama mbali mbali wamekuwa wakitumia nguvu nyingi ikibidi na pesa kuwavutia wananchi kujiunga na vyama vyao vya...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Wana JF, Jana katika pitapita zangu nilijikuta niko kwenye daladala inatokea Monduli, na humo ndani aliyewepo dada mmoja ambaye ni kada wa CCM, alichosema ni kwamba yeye ni CCM, lakini ukweli ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
What is happening in our country is not a surprise as people might think. We only need to broaden our knowledge and understandings on current issues going on in our country. For those who like to...
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Ndugu wanahabari Kwanza tunawashukuru nyote kwa kukubali na kuitikia wito wetu, kama ambavyo imekuwa ada. Leo tunapenda kutumia fursa hii, kuzungumzia suala moja, ambalo...
18 Reactions
107 Replies
12K Views
Inspekta Jenerali wa Polisi nchini, ametoa taarifa kwa vyombo vya habari, kisha amejibu maswali kadhaa, vitu vya msingi kwa sasa ni kuwa Taarifa Muhimu zitatolewa na Jeshi kwa wakati muafaka tena...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
kutokana na hali ya usalama kuwa ya mashaka ama kutotabirika nashauri kwenye mikusanyiko. 1.chadema watumie kamera za CCTV kwenye mikutano yao ili ziwe zinasaidia kutoa ulinzi na kubaini...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom