Uchaguzi Arusha waahirishwa rasmi

Totalman

Member
May 30, 2013
40
10
Uchaguzi mdogo wa madiwani kwa kata nne za hapa Arusha (elerai, themi, kimandolu na kaloleni) zimeahirishwa hadi tarehe 30.06.2013. Vifaa vya uchaguzi vimehifadhiwa na hakutakuwa na kampeni tena ni kupiga kura tu tarehe ikiwadia.
 
Back
Top Bottom