JK Safarini tena UK

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,946
1,796
Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wakuu wachi walioalikwa kuhudhuria mkutano wa nchi zenye Viwanda Vingi G8,mkutano unaanza kesho UK.

Source: ITV

my Take;
Safari kama hii ina Tija gani,na Jk anafuraha gani ya kuhudhuria mkutano wa wenye viwanda wakati ambapo serikali imeshindwa kuendeleza viwanda vya ndani.
 
Hata kama kaalikwa labda jamaa ndo anaenda kuwashawishi watuletee viwanda na hapa kwetu.
Hata kama mtakataa Ukweli utajitokeza tu maana ukweli ni kama Kikohozi na moshi unaofuka:-
1. hata siku moja hakuna urafiki kati ya matajiri na maskini
2. Urafiki huo wa kualikwa kwa matajiri ni hatari kwa nchi kama yetu
3. Kwani umeona kwenye bajeti yetu ya mwaka 2013/14 waziri Mgimwa ameyaorodhesha
makampuni makubwa wanalipa na kuchangia kodi yoyote katika uchumi wetu
4. Kwani makampuni yanajileta yenyewe si jamaa anawaalika na tunaambiwa kwamba
wawekezaji wanachangia kuinua uchumi wetu wakati hawalipi kodi. Ama kweli hii ni nchi
ya Kalaghabao.
5. Wajinga ndio waliwao tumtegemee Mungu tu serikali hii haina dhamira ya dhati
kuboresha maisha ya walalahoi.

Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wakuu wachi walioalikwa kuhudhuria mkutano wa nchi zenye Viwanda Vingi G8,mkutano unaanza kesho UK.
my Take;
Safari kama hii ina Tija gani,na Jk anafuraha gani ya kuhudhuria mkutano wa wenye viwanda wakati ambapo serikali imeshindwa kuendeleza viwanda vya ndani.
Source;ITV

G8 wapo sahihi kumwalika JK, kwani mali gafi ya viwanda vyao vinatoka wapi? Ni Afrika ikiwemo Tanzania. Walaji wakubwa wa bidhaa kutoka viwanda vyao wako wapi? Walaji wapo Afrika ikiwemo na Tanzania! So you can see the connection, wale hawana mzaha, sisi ndiyo tunafanya mzaha kiasi cha kukubali mwaliko wenye walakin kama huo! African heads of state wakifika kule wazungu watawapetipeti migongo na kumwagiwa sifa za uwongo kumbe wao (wazungu) wana agenda moja tu Afrika; Kuimarisha mahusiano ya kinyonyaji!
 
Mwache FastJet apasue anga! Si mnaelewa karibu miaka 18 (10 akiwa waziri wa mambo ya nje na 8 akiwa rais) ana aleji na hewa ya Tanganyika yetu?

Miaka 8 ya urais amemshinda kwa mbali sana Mwl. Nyerere aliyekaa ikulu miaka 23 kwa kusafiri nje!!
 
Tanzania kweli ni kigori kinachogombaniwa na nchi mitajiri!
Sasa huyu mwenyekiti wetu ana uwezo wa kujua hila za mabepari!? maana alisema hata hajui kwa nini Tanzania ni masikini!
 
Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wakuu wachi walioalikwa kuhudhuria mkutano wa nchi zenye Viwanda Vingi G8,mkutano unaanza kesho UK.
my Take;
Safari kama hii ina Tija gani,na Jk anafuraha gani ya kuhudhuria mkutano wa wenye viwanda wakati ambapo serikali imeshindwa kuendeleza viwanda vya ndani.
Source;ITV

Jinyonge maana hata kula hujala Leo kisa wivu
 
G8 wapo sahihi kumwalika JK, kwani mali gafi ya viwanda vyao vinatoka wapi? Ni Afrika ikiwemo Tanzania. Walaji wakubwa wa bidhaa kutoka viwanda vyao wako wapi? Walaji wapo Afrika ikiwemo na Tanzania! So you can see the connection, wale hawana mzaha, sisi ndiyo tunafanya mzaha kiasi cha kukubali mwaliko wenye walakin kama huo! African heads of state wakifika kule wazungu watawapetipeti migongo na kumwagiwa sifa za uwongo kumbe wao (wazungu) wana agenda moja tu Afrika; Kuimarisha mahusiano ya kinyonyaji!

Mkuu umechangia vizuri ni kweli.
 
Basi usile Leo mtoto wa mwisho maana imekuuma sana nenda kamwambie mama

Wewe Shelui hakyamungu umenichekesha sana mkuu. Napenda siasa za kistaarabu kama zako!! Natumia simu, kesho nidai LIKE yako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom