Polisi Mkoani Arusha wamefanya kituko cha karne cha kumzuia mtuhumiwa wa kurusha bomu asikamatwe. Gazeti la mwananchi linaandika, "Taarifa zilidai kuwa kuna mtu alionekana akirusha kitu kinachodaiwa bomu kwenye eneo la jukwaa karibu na gari la matangazo la chama hicho, lakini alipokuwa akifuatiliwa baada ya kutokea mlipuko huo, polisi nao walikuwa wameanza kudhibiti watu kwa kulipua mabomu ya kutoa machozi na kupiga risasi za moto hali iliyozidisha taharuki."
L akushangaza baada ya tukio badala ya polisi kuwatuliza raia na kuwaonyesha njia gani watokee kwa usalama, polisi walianza kupiga watu na kuwatwanya. "UNATAWANYA WATU WANAOTAWANYIKA"!!!!!!!!!!!!!!??????????????
La kujiuliza ni je siku hizi imekuwa ni umaarufu kuwapiga wapenzi wa chadema? Je baada ya Kamuhanda kutawanya wanaCHADEMA waliokuwa kwenye mkutano wa ndani akapandishwa che sasa Sabas anataka apandie njia alopita Kamuhanda?