Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kutoka Tanzania Bara, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba, ndiyo wanaotarajiwa kuandika Katiba ya Tanganyika (Tanzania Bara)...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Habari wakuu! Baada ya mwenyekiti wa chama cha TLP bwana augustine mrema lyatonga kutangaza kumuunga mkono bwana lowasa 2015,siri zaendelea kuvuja,,habari zilizopztikana jioni hii zinasema kuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katibu wa kwanza, CHADEMA DMV Marekani, Liberatus akikemea mauwaji ya kisiasa Tanzania Source: CHADEMA DIASPORA : Katibu wa kwanza, CHADEMA DMV Marekani, Liberatus akikemea mauwaji ya kisiasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu. Tunajadiliane kwa kina chenye weledi wa mantiki kuhusu mlipuko wa bomu ulio tokea kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha. Pamoja na mapenzi na itikadi zetu za kisiasa tutangulize maslahi ya nchi...
25 Reactions
150 Replies
13K Views
  • Closed
wadau mliopo sehemu ambako uchaguzi unafanyika tunaomba muwe na moyo wa kutujulisha jinsi mambo yanavyokwenda!!! @ mbunge wa ilula pale kilolo na wengine kote!! Aluta!.....
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Wenzangu na wanachama wa CHADEMA wapenzi na washabiki nawapa pole kwa tukio na msiba wa wenzetu walio poteza maisha yao,jana Soweto Kaloleni, nilishngazwa na jeshi la polisi kwa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndungu Wanabaraza, Kwa kifupi,sie ambao tumepotezewa ndungu na jamaa zetu, tunaiomba sana CHADEMA, iishinikize Serikali ilete wachunguzi HURU ili kufahamu vyanzo vya vifo vya ndugu zetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Kwa muda wa miaka mitatu sasa tangu tukio la kuuawa watu watatu kule Arusha imekuwa kawaida kusikia matukio ya mauaji huku watuhumiwa wakiwa ETI ni chadema. Nakumbuka wakati huo tbc1 waliandaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nasikitika sana kwa yote yaliyotokea Arusha. Mungu awapumzishe kwa amani ndugu zetu waliotangulia, awaponye haraka majeruhi, atufariji sote kwa maana sote tu wafiwa na kubwa atuoneshe njia ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau mliopo maeneo yenye uchaguzi tupeni kinachoendelea
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa namna hali usalama inavyozidi kuzorota ni wazi kuwa waziri wa mambo ya ndani alipaswa kujiuzulu kulinda heshima yake kwani ameprove is very weak to keep our country safe!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi watoto wenzangu wa nyumba hii ya mzee JK hamulioni hili?mara nyingi majambazi(nyie munasema ni magaidi mtajiju)huwa wanafanya matukio katika nyumba yetu punde baba akiondoka safari.kwenye...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Taarifa za uhakika nilizozipokea kutoka wilayani Serengeti kata ya Manchira inayoundwa na vijiji vya Rwamchanga, Miseke na Bwitengi kunakofanyika uchaguzi mdogo hivi leo zinapasha kuwa kaimu mkuu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kura zimeanza kupigwa tangu saa 1 asbh. Hali imetulia, misururu c mirefu. Kuna vituo 23 kwa ujumla. Jana alikuwepo hapa waziri wa A. Mashariki Samwel Sitta pamoja na mwanamziki Diamond kwa ajili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbunge wa Monduli , Edward Lowasa ,azidi kujinyakulia sifa za kutosha ikiwa ni pamoja na mtaji wa kisiasa Baada ya kuwaachia Walimu Mamillion ya shlingi kwnye Mkutano wa Walimu ulifAnyika Leo...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Wazee waliokuwa wanahesabika kama wazee wenye hekima ndani ya Chama cha Mapinduzi wamekitelekeza chama na kukiacha mikononi mwa watu wa hovyo hovyo, hali inayopelekea chama kuendeshwa kihuni. Enzi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nathubutu Kusem hili ni Tukio la Kutisha kabisa na kusikitisha. Maskini Wananchi wasiokua na hatia wanapoteza roho, kuanyimwa rights zao zakukusanyika kihilali kwasababu tu serikali inangozwa na...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Kabla sijaanza kuelezea hoja yangu inabidi nitoe angalizo...hii hoja haipo KIUSHABIKI bali KIUHALISIA. Pia poleni wana Arusha kwa matukio ya mabomu yanayowakuta mfululizo. Kabla ya mwaka 2005...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Imekuwa ni dhahiri kwake,kila akitoa tamko la mauaji na lazima yatokee kuna nini? 1.Alisema ana Cd ya viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji.Na mateso ya kibanda kung'olewa meno na kucha yakatokea...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom