Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,607
Naibu katibu Mkuu wa CCM Tanzania bara Mh.Mwigulu Lameck Nchemba Madelu akiwasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa udiwani Jijini Arusha kata ya kimadolu hii leo tar.15/06/2013 |
Mamia ya wananchi na wanachama wa kata ya kimadolu wakiwa tayari kusikiliza mkutano wa hadhara wa kufunga kampeni za uchaguzi wa udiwani kwenye kata yao. |
Kazi na dawa.Pichani ni kijana aliyejitokeza kurudisha kadi ya CHADEMA Mbele ya Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara,Mh.mwigulu Nchemba |
"Mmeionaaaaaaaa?Kijana amejitambua anarejea kwenye chama cha watu wenye nia na maendeleo,CCM chama cha kitaifa"Naibu Katibu Mkuu Mwigulu Nchemba |
Kijana akiwa amependeza kofia na kitambaa cha CCM,Huku Mh:Mwigulu Nchemba akionesha kadi ya CHADEMA kama ishara ya kupata mpiga kura mwingine kwenye uchaguzi wa kesho tar.16/06/2013 |
Mamia ya Wanachi wakiwa na utilivu wa hali ya juu wakimsikiliza Naibu katibu mkuu wa CCM Mh.Mwigulu Nchemba |