Ulanziwang'ombe
Senior Member
- Sep 3, 2012
- 134
- 10
Ndugu wanajf jana jioni ilikuwa siku ya mavuno zimemwagwa hela eneo lablock"t" na maendeleo kwa ajili ya kuhonga vijana wamchague mgombea wa ccm. Ilikuwa ukionyesha shahada tu unapewa elfu kumi. Vijana wamepokea hela lakini wanasema kula ccm kulala cdm. Tunasubiri matokeo jioni itakuwaje?