waheshimiwa wana JF nawasalimu sana and nawaomba msaada, nimetumia jukwaa la siasa kwani najua watu wengi wapo huku compared to the rest!!
Ninafanya utafiti kwa ajili ya article yangu ambayo najaribu kuoanisha maendeleo katika halmashauri za miji na wilaya na kiwango cha elimu cha baraza la madiwani na meya/mwenyekiti na viongozi wa halmashari husika. Hii itanisaidia kujenga hoja ya kuwezesha hata kushauri kama huko tuendako tunahitaji kuwa na kigezo cha elimu kwa waheshimiwa wetu katika ngazi mbali mbali.
Naomba tu kujua takwimu za for example wilaya ya katavi ( madiwani xx, wenye darasa saba x, darasa 12 y, cheti z, diploma n, degree 1 M, postgraduate xxx) tayari kupitia source zingine nishajua variable zengine . hata kama wajua meya/diwani/mbunge wa xxx anakiwango zz cha elimu nitafurahi
Ahsanteni sana,
Mahwelu