Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama kipindi hk tu viongozi wote wa cdm wamezunguka kwenye kata na matokeo ndo haya. Je 2015 uwezo wa kuzunguka kata zote utakuwepo mana itakuwa busy na urais na ubunge kwa uchache. Chadema tujipange
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii foum kuna misemo ilyokuwa imeenea maeneo mengi toka kumalzika kwa uchaguzi wa 2010 ikidai kuwa CDM ni chama cha msimu. Sasa je nauliza msimu wake unaishia lini jamani ili CCM wapumue?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ndg wana JF, Nilikuwa safarini kwa takribani siku 12 nje ya nchi. Namshukuru mungu nimerudi salama. Niliamua kuwa off ili kutoa uzito unaostahili kwenye mambo yaliyonipeleka. Nimeona uzi...
18 Reactions
461 Replies
33K Views
Bila shaka kwa maagizo ya CCM NEC haijaboresha daftari tangu mapema 2010 kabla ya ule uchaguzi hivyo katika kata hizo 22 malaki ya vijana waliozaliwa 1992 - 1995 hawajaandikishwa hivyo hawamo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mfadhaiko, mshituko na huzuni kubwa taarifa za shambulio la mlipuko lililotokea katika mkutano wa Chama cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wengi Tumekuwa Tukiilaumu CCM Na Polis kwa kutoKuchukua Hatu Kwa Mauaji Ya Kikatili Na Kigaidi Yanayoendelea kutokea Nchini. Kupigwa Na Kunyanyaswa Wanachama Wa Chadema Na Viongozi Wake. Mimi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani leo nimeona niwaambie kituko cha kampeni za udiwani juzi pale Ilboru. Baada ya kukata tamaa juu ya uwezekano wa kupata kura mgombea wa CCM akatoa kali ya mwaka kwa watu wachache walokuja...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ametahadharisha kuwa kung'ang'ania kuendesha nchi kwa kufuata mfumo wa sasa wa utawala wa Serikali mbili ili kuepuka gharama za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Dk. Edward Hoseah, amemtupia lawama Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Elieza Feleshi, akisema amekalia kesi 60 za...
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameshutumu vikali tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC kwa kuanza kuhujumu chama hicho katika uchaguzi wa udiwani katika kata 26 na uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo...
11 Reactions
67 Replies
7K Views
* Adai kesho ulinzi upo wa kutosha. * Awapongeza Arusha kuitosa CHADEMA. * Asema CCM kuzoa kata zote. * Awasihi wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kesho. Katibu wa Itikadi na Uenezi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
UNAFIKI Wa Wakazi wa Dar es Salaam Nimeugundua leo. Sasa sielewi ni kutokana na wakazi WENGI kuhama maeneo husika (wakazi wengi wa Dar Ni wapangaji) .? Au Kuwepo kwa Watu ambao ni wapya na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tanzania bila ubishi sasa ni wazi kuwa tuko kwenye migogoro mikubwa ambayo inaweza kugawa nchi, kupunguza uwekezaji na kuleta vita. Migogoro ni hii hapa 1. Katiba: Katiba imeleta migororo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
KUTOKA F YA JOSHUA NASSAR. Ile gari iliyoshikwa na katika jaribio la kutaka kuniteka juzi usiku likiwa na raia watatu wenye asili ya kisomali na dereva wake akiwa ni kada wa ccm mdogo wake na...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Niwape pole familia ya JF kwa msiba uliotupa Arusha. Nathubutu kuandika maneno haya kwa majonzi niliyonayo kwa janga lililotupata huko Arusha kwa baadhi ya Watanzania wenzetu kupoteza maisha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Haya ni matukio yanayofanywa na makada wa ccm dhidi ya CHADEMA kuanzia leo. Nitaendelea kubandika hapa kila yanapotokea leo nchini. WanaCCM wamawavamia mawakala wa CDM kwa kuwashambulia vikali...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nadhani 'Meya" Gaudence Lyimo anatambua kwamba yote haya yanatokana na yeye kuwa 'Meya' kwa njia ambazo hazikuwa za halali na kendelea kung'ang'ani wadhifa huo. Sijui ni Wanarusha wangapi wamesha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana lakini hatuna tunachokijua zaidi ya hapo na hata kama kulikuwa na makubaliano ya muunagano basi Muungano wenyewe ni batili kwa sababu zifuatazo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Rangi ya kijani, Migomba, michicha etc (isipokua bange) ina rangi ya kijani - Lusinde kwenye kampeni Arumeru. 2. Shule za kata, CHADEMA hawajawahi jenge shule yeyote ya kata tangu mfumo wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana usiku katika kata ya minepa jimbo la ulanga magharibi vijana wa ccm (green guard) waliwavamia viongozi wa CHADEMA hususani mlinzi wa mgombea udiwani kwa nia ya kutaka kumu ua mgombea udiwani...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom