Mtazamo wangu Tukio la Bomu Arusha!!!!


KING COBRA

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
2,783
Likes
62
Points
145
Age
29
KING COBRA

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
2,783 62 145
Baada ya kufuatilia sana tukio la Arusha na kuhusisha matukio mengine yalipopita yakiwemo mlipuko wa Bomu kanisani,Kupigwa risasi padre Mushi kuuawa kwa Mchungaji Geita, Kutekwa Kibanda, Kutekwa Ulimboka kuchomwa makanisa napata mambo mengi:
1.Wanaosema kuwa CHADEMA wamehusika na tukio ni Wajinga
2.Wanaosema CCM wamehusika ni wavivu wa kufikiri kwa kuwa CCM imegawanyika katika vipande Vinne.
Kwa mtazamo wangu ni kuwa Matukio yote tajwa hapo juu hayana watumiwa halisi na hawatakuja kupatikana hadi Chama cha upinzani kitakapo chukua nchi!!!

Matukio yote hapo juu yamekuja sambamba na harakati za nani atakuwa rais 2015.CHADEMA imekuwa chombo kikuu cha kutoa elimu kwa wananchi na kuwa amusha kudai haki zao na madaktari, Wanafunzi na walimu wameinuka na kujitosa katika harakati na hii ndo sababu ya kila mgomo na vurugu CHADEMA wanahusika.

CCM wanaota ndozi hata kama atagombana na mkewe anasema CHADEMA wanahusika!!

Sasa sisi tusiwa kama wao kiasi kwamba kila tukio tuseme CCM wanahusika , ni lazima tuje na uchunguzi wa kina na uhakika.


Katika siku za karibuni kuna bifu kubwa kati ya TZ na M23 hadi sasa JK hawezi kukutana na Kagame uso kwa Uso na M23 wamesha tuonya.

Pia kuna mkutano mkubwa ulifanyika (31/5/2013) na Jukwaa la Wakristo nchini ambalo umekuwa mtaji mkubwa wa kisiasa CCM ambapo waliamua kwamba ifikapo 1 july 2013 Wakristo wote nchini wataamuriwa na viongozi wao wa makanisa kukusanya kadi za CCM na kuchoma baada ya wao wenyewe kusitisha Ushirikiano na Serikali.

Maamuzi haya yamekuja baada ya Jukwaa hilo kuituhumu CCM kujifungamanisha na dini ya Kiislamu huku wao wakizuiliwa kuchinja wanyama.
Maaskofu walimtaka atoe maelezo ni kwa nini Wabunge wa CCM wanasema CHADEMA ni CHAMA cha Wakristo na aliposhindwa kujieleza wakaona ni bora wachome kadi za CCM.

Hoja ya pili ni Kwamba Waislamu kundi la Ponda ndio wanaosema CHADEMA ni chama cha Wakristo na mfumo kristo.
Mwaka 2010 kundi hili lilitembea nchi nzima na kutukana Maaskofu sambamba na Chadema.

Kule Bungeni na kwa nyakati tofauti MBOWE na LEMA ndio waliosema kwamba wana ushahidi kuwa Kikwete ni chanzo cha UDINI.Na kundi linalotajwa kupewa bajeti hiyo ikulu ni lile lililo ongozwa na Shehe Illunga na Mohamed Issa , wote hawa wapo na ponda

Lema hadi leo haja ambiwa na Spika kuwa atoe Ushahidi wala si Mbowe. Kauli hizi za Mbowe na Lema zimejadiliwa sana na Waislamu kundi la Ponda katika msikiti wa idrisa ambapo Prof Lipumba ameonekana anatuhumu CHADEMA kuwa ni chama cha Wakristo chenye kuungwa mkono na nchi za magharibi!!

Matukio ya kurusha bomu na kuua hayakuwepo nchini na yanatamalaki katika nchi zenye mgogoro wa Al kaida kama iraq , Somalia, Misri, Libya, Ethiopoia n.k

Hapa bila Shaka Mbowe na Lema ndo walengwa na Ponda na Illunga wana asili ya Kinywarandwa!!
Taarifa zilizopo ni kwamba kundi la ponda na wenzake ni hatari hata kwa Waislamu wenyewe!!!

Sasa hivi kuna ujio wa Rais Obama hapa TZ , wapo wasio taka na wanahojo sababu za ujio wa Obama sambamba na migogoro ya gasi Mtwara ambapo wiki iliyopita kulikuwa na vurugu kule Mtwara na kulikuwa na vipeperushi vinatangaza kuwa suala la gas ni JIHADI na madaraja yamelipuliwa na nyumba zimechomwa moto. Kuna mgogoro wa ziwa Nyasa ambapo sasa Kagame ameungana a Joyce Banda.
Pia Mgogoro wa Mto Nile umeibuliwa
 
N

nofal

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
220
Likes
0
Points
33
N

nofal

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
220 0 33
Mkuu ALLAH akubariki sana katika hili,
hii ni hoja ambayo imetolewa kitambo na waislam kuwa uchunguzi wa kina unahitajika kufanywa juu ya nani anahusika kuliko kukaa na kuanza kufikiria kuwa ni kundi fulani ndilo linalohusika.
 

Forum statistics

Threads 1,274,985
Members 490,865
Posts 30,529,616