Uhalifu wa makada wa CCM

Uhalifu wa makada wa CCM

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,931
Haya ni matukio yanayofanywa na makada wa ccm dhidi ya CHADEMA kuanzia leo. Nitaendelea kubandika hapa kila yanapotokea leo nchini.

WanaCCM wamawavamia mawakala wa CDM kwa kuwashambulia vikali. Wamechoma moto piki piki ya M4C. Wananchi wanazidi ichukia CCM



Wana Jf,
Hali si shwari katika uchaguzi mdogovwa makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.

Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana.

Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii?
Ee Mungu utusaidie sisi wanao!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii ndio safi mnapewa shule na tuition pamoja hhahhahahahahahh chapa hao mpaka wakimbie nchi
 
Mkuu umesahau ile ya kiongozi wa uvccm aliyekamatwa na bastola kule serengeti
 
Hii ndio safi mnapewa shule na tuition pamoja hhahhahahahahahh chapa hao mpaka wakimbie nchi

Iv unajua ulicho andika hapa...acha USHAMBA...huo ni USHAMBA NA UTOTO MANA nikiuuta ujinga ntakua nimekusifia
 
jee na huko ni uamshoo..nyinyi tanganyika kujitioa maakili pale wazanzibari wanapotafuta haki zao... mlikua kila tukipigania haki zetu za kuonewa na kupigwa nyinyi mnafurahia.. kumbukeni katika kutafuta haki lazima action kama hizo huwa zinafanywa na wasopenda au walokua na ham ya kuburuza wenziwao kila siku.. hakikisha kila upande flan ukupata shiddda wewe usifurahie bali jua ndo mcahkato wa kutafuta haki.. by the way tuko pamoja kwa hali na mali ndugu zetu wa tanganyika na mungu tawapa uwepesi on the way.. bali next time wacha kufurahia sisi tukiwekwa ndani na kupigwa kule zanzibar kwani ukweli ndo huo.. ni haki yetu tuu tunadai na tutaendelea kudai
 
Watabana lakini wataachia tu, ni mchakato wa kuikomboa nchi
 
Back
Top Bottom