Wana-CDM wote, naombeni tuendelee kuhubiri AMANI, no matter watatuua wangapi, no matter tutapitia maumivu makali kkiasi gani. Tusimamie HAKI kwa kuihubiri Amani, mito hii ya Damu na Mabomu haya...
Utaratibu mpya wa vijana wasomi wanaomaliza kidato cha sita na kutakiwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria ni dawa na mkakati mzuri wa kuondoa CCM madarakani 2015.Ingawa taasisi ya jeshi pia...
Waziri kivuli wa fedha Mh.ZITTO KABWE hatasoma bajeti ya kambi ya upinzani kwani wabunge wote wa CHADEMA watakwenda ARUSHA kesho.SOURCE FACEBOOK WALL YA ZITTO MUDA HUU.
Wakati tunamsubiria Kamanda wa anga, muda huu Kamanda Lema anawashukuru wana wa Arusha kwa kujitoa na kywadhihirishia Ccm kwamba A town hakuna Ccm
Mita chache kutoka ulipo mkutano huu wapo ccm na...
Maoni yangu hayo -- katu msifanye ushenzi kama huo kwenye mikutano yao. Mkifanya hivyo nawahakikishieni kabla masaa 12 kupita kamata kamata ya polisi ya viongozi wa CDM itakuwa ya kasi ya...
Kwanza kabisa nieleze tu kwamba mimi ni mpenzi na mwanachama wa CCM, ila nashitushwa sana na kasi ya viongozi hawa wa chama, Mwigulu (naibu katibu mkuu) na Nape (katibu mwenezi).
Viongozi hawa...
It is too early right now to tell who was behind the latest bombing incident in Arusha. We are waiting for the law enforcement agents and security apparatus to give us the facts after conducting...
Tulishuhudia kipigo kwa wabunge wa upinzani wa jimbo la ilemela na mbunge wa ukerewe mhe.machemli walivyo jeruhiwa mpaka kufikia kulazwa ktk hospitali ya rufaa ya taifa muhimbili.swali la...
Tulishuhudia kipigo kwa wabunge wa upinzani wa jimbo la ilemela Mhe.Highness Kiwia na Mbunge wa ukerewe Mhe.machemli walivyo jeruhiwa mpaka kufikia kulazwa ktk hospitali ya rufaa ya taifa...
Sikutegemea uamuzi mbovu kama huu unaweza kufanywa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni-KUB ya kuwalazimisha wabunge wote wa CHADEMA wasitishe kuhudhuria vikao vya bunge la bajeti vinavyo endelea na...
Ndugu zangu wanajamii forum hasa mnaotoka mkoa wa Mbeya na wale wapenda haki, mimi nawashangaa sana wabunge wa CCM wanaotoka mkoa wa Mbeya, kuna matukio mengi ya kutisha sana yanatokea katika nchi...
Enyi watu mliofungwa akili na pepo la CCM, je, hiyo CCM mnayoipigia debe imeiletea manufaa gani nchi hii kwa miaka zaidi ya 50 iliyokuwa madarakani, hasa mkizingatia wingi wa rasilimali (madini...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu pamoja na Mbunge wa Babati Vijijini, Jitu Soni (CCM), wamenusurika kuchomwa moto na wafuasi wa Chadema usiku wa kuamkia...
Hii ni kauli ya mwenyekiti wa taifa wa chadema mheshimiwa Freeman Mbowe akihojiwa na mwandishi wa channel ten.
Hivyo wabunge wa chadema hawatahudhuria kikao cha bajeti hapo kesho na badala yake...
Viongozi na makada wa CCM hapa Sengerema mkoani Mwanza wamekata tamaa ya kushinda udiwani kata ya Nyampulukano na Lugata!. Kwa hapa mjini Sengerema kila mwana CCM anayeonekana kavaa kijani ama...
Ndivyo alivyosema Mwenyekiti huyo wa NEC katika mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha Nipashe asubuhi leo akitangaza kuahirisha uchaguzi katika kata nne za Arusha. Hakutaja kabisa mlipuko, bali...
Sijawahi kuwa mchangiaji mzuri humu ila naomba kama ujumbee huu mkiusoma cCCM utakuwa na faida kidogo
NAONA SERA SASA HAMNA IMEBAKI VITA NA UPINZANI HIVI KWA HALI YA KAWAIDA MKATEKELEZA YA...
Huwezi kujenga uwajibikaji na uzalendo... kama wapo wanaolipa kodi na wapo wasiolipa... Nadhani it is very wrong to have zero rate kodi kwa Raia yeyote wa Tanzania. Ni bora hata iwe 1% Lakini...
Mh.Hamad Rashid mbuge wa jimbo la Wawi,pamoja na Henri Shakifu wapo Tbc taifa (radio)huku Hamadi akisema ni ngumu kujenga uchumi imara wakati,hukusanyi kodi,huwezi kusimamia mapato yako vizuri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.