i pad3
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,518
- 378
KUTOKA F YA JOSHUA NASSAR.
Ile gari iliyoshikwa na katika jaribio la kutaka kuniteka juzi usiku likiwa na raia watatu wenye asili ya kisomali na dereva wake akiwa ni kada wa ccm mdogo wake na aliyekuwa diwani wa ccm makuyuni.Gari na watu walewale ambao waliachiwa pamoja na kukutwa na dawa za kulevya (mirungi), leo wanasimamia kura kama mawakala wa ccm na gari yao ipo kwenye kituo cha Zaburi umbali wa mita 2 tu, kinyume na utaratibu. Wako wapi wanausalama, iko wapi tume ya uchaguzi.
source HAPA