Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Bila shaka kwa maagizo ya CCM NEC haijaboresha daftari tangu mapema 2010 kabla ya ule uchaguzi hivyo katika kata hizo 22 malaki ya vijana waliozaliwa 1992 - 1995 hawajaandikishwa hivyo hawamo katika daftari na maelfu wengine pia wazee wamekufa -- wanatakiwa wafutwe. Kwa kuwa wanaozaliwa nni wengi kuliko wanaokufa basi kuna ongezeko la idadi ya watu.
Aidha tusisahau kwamba matokeo ya kwanza mabaya ya Form 4 za sekondari za Kata (za Lowassa) yalianza 2010, hivyo malaki ya vijana wako mitaani without hope, future na hivyo have nothing to lose in life na hasa wanaposikia sasa kwamba predicament yao imetokana na sera mbovu za CCM katika elimu. Msifikiri wanafunzi hao hawajui kwamba walisoma shule mbovu hasa wakiona watoto wa wakubwa wakisoma shule nzuri. hili wanalijua sana.
Hivyo wengi wa hawa bila shaka wanashabikia CDM lakini hawamo katika daftari la wapiga kura. Wangekuwamo jee?
Na ndiyo maana sasa hivi CCM inaweweseka na hii rasimu ya katiba mpya kwani haya mambo ya kuchelewesha kuboresha daftari kwa visingizio visivyo na msingi katika uendeshaji wa demokrasia ya vyama vingi yatatoweka hivyo wanaona hakuna mteremko tena!
CCM anzeni kuogopa sasa!! hamnuwezi kuzuia mambo mema yanayokuja.