Kwa hili la usalama wa raia, tusiangalie tulipoangukia bali tulipo jikwaa.

YUDITHA

Senior Member
May 5, 2013
154
28
Wengi Tumekuwa Tukiilaumu CCM Na Polis kwa kutoKuchukua Hatu Kwa Mauaji Ya Kikatili Na Kigaidi Yanayoendelea kutokea Nchini. Kupigwa Na Kunyanyaswa Wanachama Wa Chadema Na Viongozi Wake. Mimi Naamini Tatizo Si CCM Na Polisi Bali Ni Sisi Wananchi Kushindwa Kuchukua Hatua Stahiki Dhidi Ya Polis Na CCM. Na Hali Ya Wananchi Kuendelea Kukaa Kimya, Wao Wanapata kiburi kwa Kuwa Sisi Ni Waoga Na Kuendelea Kutunyanyasa. KWA NINI TUOGOPE MTIHANI TULIOTUNGA WENYEWE? Kwa Kuwa Wameshindwa Kulinda Usalama wa Raia Na Mali Zao Basi Wananchi Tuhamasishane Kujilinda Wenyewe Kwanza kwa Kung'oa Serikali Iliyopo Madarakani Ili Kuunda Serikali Ya Wananchi. Pili Kupitia Asasi Mbali2 Za Kijamii Na Vyama Vyote Vya Upinzani Watangaze Siku Ya Maandamano Ya Kitaifa. Sioni Sababu Ya Wanaojiita Wanaharakati Kuendelea Kukaa Kimya Wakati Watu Wanauwawa Huu Ni Unafiki. Rai Yangu Kwa LHRC (LEGAL AND HUMAN RIGHTS CENTRE) kusimama imara ktk hili, la kulinda na kusimamia haki na usalama wa raia.
 
Wazo safi sana kamand, nadhani hata mpira una kipimo chake cha upepo ukizidisha zaidi mpira utapasuka. Naunga mkono hoja zako ni za singi sana. Lugha ambayo watawala dhalimu wnaielewa ni wananchimkukaa barabarani tu kama Misri, tunaogopa nini wakati jamaa wameshaytuuza kwa wawekezaji wao?
 
Tatizo si sisiem wala polisi ni critical thinking ya Chadema, na hii inatokana na viongozi wao kutokwenda shule Mwenyekiti division 0 na katibu mkuu katoka certificate to PhD ya siasa za maji taka, what do u expect, na yule mwenye akili kidogo miongoni mwa Chadema Kabwe anakabwa asije juu shauri ya udini katika Chadema, so they will always be the loooooosers, adui yao ni ujinga walionao.
 
Vijana wa CCM mnanishangaza sana...ni kama WASHAMBA FLANI...unaleta utani kwenye mambo serious and u always speak the same shit over and over again
 
Serious when Chadema face the music, na sio serious walipokuwa wazanzibari walipo face the music, nazungumza hayo kwa hayo kwa sababu Chadema mna akili mgando, it will take time kufahamu. It is a long way for Chadema kujifunza siasa. Ali Vuai kule zanzibar atawapa darasa la bure juu ya kuwa na siasa za ushindani bila vita, na huu ubishi mlionao na kujua kwingi ndiko kunako waponza Chadema I can see no seriousness on Chadema sorry!
 
That's problem...hapo umeandika nini sasa..??...sijakuelewa kabisa..!!! ndo nachosema Hamjitambui...hata nyie mnaotetea CCM humu hamjitambui...Hapo ulitaka kusema nini..???
 
Wengi Tumekuwa Tukiilaumu CCM Na Polis kwa kutoKuchukua Hatu Kwa Mauaji Ya Kikatili Na Kigaidi Yanayoendelea kutokea Nchini. Kupigwa Na Kunyanyaswa Wanachama Wa Chadema Na Viongozi Wake. Mimi Naamini Tatizo Si CCM Na Polisi Bali Ni Sisi Wananchi Kushindwa Kuchukua Hatua Stahiki Dhidi Ya Polis Na CCM. Na Hali Ya Wananchi Kuendelea Kukaa Kimya, Wao Wanapata kiburi kwa Kuwa Sisi Ni Waoga Na Kuendelea Kutunyanyasa. KWA NINI TUOGOPE MTIHANI TULIOTUNGA WENYEWE? Kwa Kuwa Wameshindwa Kulinda Usalama wa Raia Na Mali Zao Basi Wananchi Tuhamasishane Kujilinda Wenyewe Kwanza kwa Kung'oa Serikali Iliyopo Madarakani Ili Kuunda Serikali Ya Wananchi. Pili Kupitia Asasi Mbali2 Za Kijamii Na Vyama Vyote Vya Upinzani Watangaze Siku Ya Maandamano Ya Kitaifa. Sioni Sababu Ya Wanaojiita Wanaharakati Kuendelea Kukaa Kimya Wakati Watu Wanauwawa Huu Ni Unafiki. Rai Yangu Kwa LHRC (LEGAL AND HUMAN RIGHTS CENTRE) kusimama imara ktk hili, la kulinda na kusimamia haki na usalama wa raia.
jee na huko ni uamshoo..nyinyi tanganyika kujitioa maakili pale wazanzibari wanapotafuta haki zao... mlikua kila tukipigania haki zetu za kuonewa na kupigwa nyinyi mnafurahia.. kumbukeni katika kutafuta haki lazima action kama hizo huwa zinafanywa na wasopenda au walokua na ham ya kuburuza wenziwao kila siku.. hakikisha kila upande flan ukupata shiddda wewe usifurahie bali jua ndo mcahkato wa kutafuta haki.. by the way tuko pamoja kwa hali na mali ndugu zetu wa tanganyika na mungu tawapa uwepesi on the way.. bali next time wacha kufurahia sisi tukiwekwa ndani na kupigwa kule zanzibar kwani ukweli ndo huo.. ni haki yetu tuu tunadai na tutaendelea kudai
 
That's problem...hapo umeandika nini sasa..??...sijakuelewa kabisa..!!! ndo nachosema Hamjitambui...hata nyie mnaotetea CCM humu hamjitambui...Hapo ulitaka kusema nini..???

Umethibitisha niliosema hapo juu kuwa Chadema mna akili mgando inawachukua muda kufahamu just ABC, lugha mtakayofahamu sasa ni kwa sisiem kuwa ngangari thats it, kaaeni mkao wa kula matapishi yenu sasa, tumechoka na ukichwa ngumu wenu
 
Huo ni UTOTO NA UJINGA ....ur COWARD badala ya kunielewesha na kujibu hoja unakimbilia kwenye vitisho...huu ndo ujinga wa vijana na ccm kwa ujumla...
 
ccm namshukuru Mungu kila wanachopanga kukifanya ndo wanazidi kuharibu chadema ni mpango wa Mungu ..ccm mnajisumbua bure
 
Huo ni UTOTO NA UJINGA ....ur COWARD badala ya kunielewesha na kujibu hoja unakimbilia kwenye vitisho...huu ndo ujinga wa vijana na ccm kwa ujumla...

Yeah! whatever u r just bunch of loooosers Chadema, as of NOW you will see our true colour Green and Yellow
 
Serious when Chadema face the music, na sio serious walipokuwa wazanzibari walipo face the music, nazungumza hayo kwa hayo kwa sababu Chadema mna akili mgando, it will take time kufahamu. It is a long way for Chadema kujifunza siasa. Ali Vuai kule zanzibar atawapa darasa la bure juu ya kuwa na siasa za ushindani bila vita, na huu ubishi mlionao na kujua kwingi ndiko kunako waponza Chadema I can see no seriousness on Chadema sorry!

Wazanzibari ni watu wenye akiri, wewe inakuwaje?
 
Nasisitiza Maandamano Ya Kitaifa ili kungoa watawala walioshindwa kulinda usalama wetu
 
Mkuu nakuonga mkono sana... ccm haipaswi kuendelea kuleta vurugu na kuua raia.. kinachotakiwa ni kutoa elimu hii kwa raia... hakuna sababu ya kujilinda sana... ni mambo machache tu ya kufanya... mojawapo... wauaji kama kina Mwigulu asikubaliwe kuhutubia sehemu yoyote... labda Iramba..
 
Wazo safi sana kamand, nadhani hata mpira una kipimo chake cha upepo ukizidisha zaidi mpira utapasuka. Naunga mkono hoja zako ni za singi sana. Lugha ambayo watawala dhalimu wnaielewa ni wananchimkukaa barabarani tu kama Misri, tunaogopa nini wakati jamaa wameshaytuuza kwa wawekezaji wao?

Lakini kuinhia barabani is mpaka ujue kuwa unaonewa? Yaani mtu akuletee khanga na kofia halagu uandamane kumpinga? Hii haiingii akilini. Nadhani elimu ya uraia n haki binafsi za mtu bado sana kufahamika. Hii inatokana na watu wengi kukosa elimu ya kawaida.pamoja na umaskini uliokithiri ambao hata kama mtu anapewa sh. 5000 anaziona ni nyingi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Yeah! whatever u r just bunch of loooosers Chadema, as of NOW you will see our true colour Green and Yellow

Poor English! Why can't you use Kiswahili so that you may be understood?

Back
Top Bottom