Ndugu zangu wanajf, natamani siku moja kuiona Tanzania mpya itakayo heshimu haki za binadamu, itakayokuwa na uchaguzi wa haki na huru, itakayo kuwa na vyombo madhubuti vya usalama vyenye uwezo wa...
Mheshimiwa Aboud Jumbe, aliyekuwa Rais wa Zanzibar, na makamu wa Rais Nyerere, tangu kifo cha Karume I hadi January 29, 1984 na akajiuzuru siku hiyo, leo anatimiza miaka 93.
Mtandao huu tunapaswa...
Tumemkuta katibu wa tawi la CCM kijiji cha Naiti, anaitwa Peniel Olodi akikusanya shahada za kupigia kura za wananchi wa kata ya Makuyuni hii ni sehemu ya daftari la majina na namba za shahada...
Huu ndiyo ujumbe wake,
Poleni sana wana Arusha kwa mlipuko wa bomu jana.
Mungu ibariki Arusha
Mungu ibariki Tanzania.
Habari zaidi pata kutoka TANURU LA FIKRA.
Ambatanisho la Picha kwenye...
Uwongo ukidhihiri ukweli hujitokeza, tukio la mwisho Zanzibar kuuliwa kwa Padri Mushi, Nchimbi alikimbilia haraka katika vyombo vya habari kutangaza ugaidi, kwa vile tukio lile lilitokea Zanzibar...
Bunge ni mhimhli mmojawapo kati ya mihimili mitatu ya dola, wenyewe ukiwa wa kumhusisha zaidi Mwananchi kupitia kwa Mbunge wake.
Wote tunajua yaliyotokea Arusha kuwa ni Mauaji makubwa na ya...
Ni miezi kadhaa watu wanakufa Syria,wakati kuna maonyesho mbali mbali ya watu wa Syria ktk miji yetu na hakuna anayeona kuna cha kusema au kufanya.HIvi hii serikali ya CCM hawana vipengele vya...
Hatimaye CCM(Shetani mkuu) imeamua rasmi kuvunja himaya yake huku ikiwa haina nyumba mbadala.Imeamua kufukuza majinn kwa kutumia maruhani, ili ibaki yenyewe ktk upweke wa shetani.
-CCM baada ya...
Watanzania tulijitoa sana kwa hali na mali ili kukoomboa nchi nyingi sana ila fronline ikiwa nchi za kusini ,kati, na mashariki ya Africa.Tulijinyima kwa jaili ya ndugu zetu,ila kw amipango...
Kazi ya M4C ni kubwa na ya kutukuka, CDM ilipofikia hakuna kiongozi wa CDM anaweza cheza tena michezo ya Mrema na Marando ktk chama na akabaki kwa amani nchi hii.Yapo matukio mengi sana yanayotoa...
kwa uelewa huu wa watendaji, kwa mwendo huu,:CCM na taasisi nyingi zitaharamishwa. -Polisi ni mali binafsi ya CCM. -JWTZ nayo imeshamezwa na CCM. - PCCB tunaijua. -Office ya mwanasheria mkuu...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KINATOA RAI KWA WATANZANIA KULAANI HILA NA NJAMA CHAFU ZINAZOENDESHWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA CHAGUZI NDOGO ZA MARUDIO...
Tangia rasimu ya katiba mpya itoke, imeonekana chadema wanashabikia muungano uvunjike na kuwe na serikali tatu.Kwanini chadema wanashabikia jambo hili?
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Ngoyai Lowassa yuko kwenye maandalizi ya kuukwaa Urais wa Tanzania 2015.
Hii inadhihirishwa na nguvu kubwa aliyotumia kuhakikisha CCM inshinda udiwani...
Mbowe akizungumza katika hospitali ya Selian jana aliwataka wanachama wa chama hicho watulie kwa sababu tukio hilo ni kubwa na lina mambo mengi ndani yake.
Alisema wanachofanya sasa ni...
waziri nchimbi amezomewa vibaya sana hapa arusha ni kwenye uwanja kulipotokea na mlipuko wa kitu kizito na baadae polisi ccm kurusha vtu vya ncha kali...
Chama cha wananchi CUF leo imejizolea maelfu ya kura kadhaa jimbo la Chambani na kuendelea kuweka historia katika majimbo ya Pemba kutokana na kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kufariki miez...
Ujumbe kwa mganga njaa kwa magamba... ajue mambo mawili...
La kwanza ujue kuwa hilo lina mwisho wake...ipo siku mtapata mateso haya haya kutoka kwa hao mabosi wenu...ccm.. ipo siku nanyi mtavunjwa...
Chama cha wananchi CUF leo imejizolea maelfu ya kura kadhaa jimbo la Chambani na kuendelea kuweka historia katika majimbo ya Pemba kutokana na kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kufariki miez...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.