Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 990
Mheshimiwa Aboud Jumbe, aliyekuwa Rais wa Zanzibar, na makamu wa Rais Nyerere, tangu kifo cha Karume I hadi January 29, 1984 na akajiuzuru siku hiyo, leo anatimiza miaka 93.
Mtandao huu tunapaswa tuonyeshe kuwa tunawakumbuka viongozi wetu ili kila JF inapotajwa iwe inatajwa kwa mambo kama haya pia.
Mtandao huu tunapaswa tuonyeshe kuwa tunawakumbuka viongozi wetu ili kila JF inapotajwa iwe inatajwa kwa mambo kama haya pia.