mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
Chama cha wananchi CUF leo imejizolea maelfu ya kura kadhaa jimbo la Chambani na kuendelea kuweka historia katika majimbo ya Pemba kutokana na kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kufariki miez 2 iliyopita wakiwaacha ccm ambao mgombea wao alipata kura 400 na hamad Rashid 100 ambapo kabala siku moja ya uchaguzi maalim aliweka mkutano wanachama 900 wa ccm wakimkabidhi maalim kadi za ccm na wanachama wa Hamad Rashid kurudisha hadi bendera ya chama chao kipya ADC., Tunampa pole dr slaa kwa kuja kutembea Pemba mgombea CDM amepata kura 4.,