Waziri Nchimbi, Mulongo wazomewa viwanja vya Soweto - Arusha

Waziri Nchimbi, Mulongo wazomewa viwanja vya Soweto - Arusha

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
waziri nchimbi amezomewa vibaya sana hapa arusha ni kwenye uwanja kulipotokea na mlipuko wa kitu kizito na baadae polisi ccm kurusha vtu vya ncha kali...
 
Marehemu waliuwawa na kitu chenye ncha kali au kizito tunaendelea na uchunguzi.
Lazima tuwakate mapembe wote waliohucka na tukio hilo.
 
waziri nchimbi amezomewa vibaya sana hapa arusha ni kwenye uwanja kulipotokea na mlipuko wa kitu kizito na baadae polisi ccm kurusha vtu vya ncha kali...

Uongo mwingine unatia aibu. Hakukuwa na kitu kama hicho.
 
polisi wanahangaika na bomu tangu jana kama wameshindwa basi wamuulize lameck nchemba serial no...katika kuzimewa alikuwepo pia igp ambae nishemeji yake kikwete...
 
waziri nchimbi amezomewa vibaya sana hapa arusha ni kwenye uwanja kulipotokea na mlipuko wa kitu kizito na baadae polisi ccm kurusha vtu vya ncha kali...
Wambieni wajitahidi sana kuzomea make wameona hiyo ndiyo tiba tena ikibidi wajitahidi kila mtu wamzomee tu wasimzomee lema tu.yaani mtu mzima unatuambia eti nchimbi kazomewa kwa hiyo nchimbi alivyozomewa marehemu wamepona au mrusha bomu kapatikana halafu eti unafurahia nchimbi kazomewa,nyie vijana wa bavicha lema kawaambukiza tabia za ajabu haya hongereni kwa tabia mliyochagua.
 
Hii ni aibu ya mwaka, Nchimbi amekuja na IGP wamezomewa sana na wananchi, watu wameimba wimbo wa ukombozi, Parapanda pamoja na Mungu Ibariki chadema
 
Kumbe Crashwise wewe hukudhurika!! Thanks god wish you all the best. Niliposikia taarifa ya bomu nilikufikiria sana mshkaji
 
Nchimbi naye ni miongoni mwa majanga makubwa tuliyonayo kama Taifa, Hafai hata kuwa Baba wa Familia, i wonder walioamua kumtunuku Uwaziri wa wizara nyeti kama hii... sad to say!
 
Na bado!!! Mpaka waelewe kwamba utawala wa kimabavu wa ccm A town ni ngumu! Tumechoka. Kama ukiwa na mke akiwa hakutaki utamlazumishaa??
 
Mkuu wa mkoa wa arusha azomewa na wananchi wa arusha baada ya kuwasili kwenye viwanja vya soweto kwenye mlipuko wa bomu yeye na nchimbi.
 
Kumbe Crashwise wewe hukudhurika!! Thanks god wish you all the best. Niliposikia taarifa ya bomu nilikufikiria sana mshkaji

aisee niko poa kabisa Mungu alinisimamia..kwenye gari lilolengwa nilikuwemo ndani..
 
Kati ya Mawaziri wa Kikwete ambao hawana la kufanya kuhusiana na majanga tunayoyapata ni hawa waziri wa kufika katika maeneno ya tukio na waziri wa kuunda tume kwa sana haya wazee wa Intelegensia
 
CCM Haikubaliki na watu critical thinkers waliongia ndani ya darasa kisawasawa......! Arusha for CDM
 
Back
Top Bottom