CUF haina mpinzani Jimbo la Chambani Pemba


M

mrelbattawy

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Messages
564
Points
195
M

mrelbattawy

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2013
564 195
Chama cha wananchi CUF leo imejizolea maelfu ya kura kadhaa jimbo la Chambani na kuendelea kuweka historia katika majimbo ya Pemba kutokana na kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kufariki miez 2 iliyopita wakiwaacha ccm ambao mgombea wao alipata kura 400 na hamad Rashid 100 ambapo kabala siku moja ya uchaguzi maalim aliweka mkutano wanachama 900 wa ccm wakimkabidhi maalim kadi za ccm na wanachama wa Hamad Rashid kurudisha hadi bendera ya chama chao kipya ADC., Tunampa pole dr slaa kwa kuja kutembea Pemba mgombea CDM amepata kura 4.,
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 0
Mbunge wa kuchaguliwa na wapiga kura chini ya elfu tatu tu ma kweli cha mlevi huliwa na mgema. Sasa Maalim aangaikie Jamhuri ya Pemba tu
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
16,712
Points
2,000
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
16,712 2,000
Hongereni sana, Ila naomba kuuliza kunamAana gani kwa CUF kupata kura 4 na kura 7 kwenye kata Mbili za Muheza ? Au ndio yaleyale ya Lipumba kwenye Uraisi? Mbona hii Ndoa inawagharimu sana?
 

Forum statistics

Threads 1,283,526
Members 493,720
Posts 30,792,870
Top