VIDEO PART ONE - Mlipuko wa BOMU uliolenga kumuua Mhe Mbowe na Mhe Lema

Nov 30, 2012
67
33
Mlipuaji alirusha bomu kutoka nyuma ya jukwaa walipokuwa wamekaa POLISI wenyewe, akilenga lilipuke juu ya jukwaa walipokuwa viongozi wa chama, Mhe mbowe, Mhe Lema, Kamanda Millya, Katibu Golugwa na wagombea wanne wa udiwani. Mkutano ulikuwa ukiendelea na ghafla bomu likatua......
Huu ni mwanzo...Ukweli wa aliyerusha bomu utajulikana...
 
  • Thanks
Reactions: mij

mkuu iko wapi hiyo video?
 
Amesema huo ni mwanzo. May be lets wait the continuation of this thread.
 
Mlipuaji alirusha bomu kutoka nyuma ya jukwaa walipokuwa wamekaa POLISI wenyewe, akilenga lilipuke juu ya jukwaa walipokuwa viongozi wa chama, Mhe mbowe, Mhe Lema, Kamanda Millya, Katibu Golugwa na wagombea wanne wa udiwani. Mkutano ulikuwa ukiendelea na ghafla bomu likatua......
Huu ni mwanzo...Ukweli wa aliyerusha bomu utajulikana...

mkuu kama unayo video upload kwanza youtube then insert link itakuwa rahisi
 
Mlipuaji alirusha bomu kutoka nyuma ya jukwaa walipokuwa wamekaa POLISI wenyewe, akilenga lilipuke juu ya jukwaa walipokuwa viongozi wa chama, Mhe mbowe, Mhe Lema, Kamanda Millya, Katibu Golugwa na wagombea wanne wa udiwani. Mkutano ulikuwa ukiendelea na ghafla bomu likatua......
Huu ni mwanzo...Ukweli wa aliyerusha bomu utajulikana...

Mkuu weka video tuione
 
Binafsi nilikuwepo mkutanoni, wanawajua waliofanya hivyo tena hawakubahatisha walitumwa walitumwa walitumwa,ndio maana taarifa ya habari ITV saa mbili usiku leo IGP, Nchimbi, Mkuu wa mkoa wa arusha kila mmoja anakurupuka kutoa tamko la kulaani na kuhaidi kuwasaka wahusika,si waanze na polisi waliokuwepo mkutanoni???? Pia Mwigulu, Nnape, Mwampamba Mtera (Makapi) wote waliwahi kutoa matamko ya ovyo ovyo kwenye mikutano yao arusha na matamko yao yanadhihirisha kilichojiri kwanini wasiwakamate??? Mbaya zaidi wao wanajua kila walichokipanga,Ipo siku Mungu ataonesha njia
 
Duh sina hata la kusema maana nimeitafuta video siioni pole sana mkuu kilimanjaro
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom