Source BBC
Kituo cha haki za binadamu kimedai kuwa jeshi la polisi nchini limetoa taarifa za uwongo kwa kudai kuwa ni raia watutu tu ndio walifariki kipindi cha vurugu za gesi huku ukweli ukiwa...
Wana Mtwara, jana kulikuwa na uchaguzi mdogo kata ya Mnima.
Pamoja na kupata habari toka kata nyingine zilizofanya uchaguzi sijasikia chochote juu ya kata ya Mnima huko Mtwara.
Mwenye habari...
Kwako MWIGULU MCHEMBA Naibu katibu mkuu Ccm bara. Nikupongeze kwanza kwa hatua yako ya kukiri kuhusika na Video ya Kutengeneza dhidi ya Mkuu wa Usalama na ulinzi CDM ndugu WILFRED LWAKATARE...
Kutokana na kauli za kuchefua, kifedhuri, na kuudhi za viongozi wa magamba kama Makinda, Lukuvi na wengineo juu ya tukio lilotokea Arusha, mimi naona kuwa huu ni muda mwafaka kwa sisi watanzania...
Tangu bomu lilipuke arusha nimesikitika sana.
1. viongozi wengi wa CCM hawajashutushwa na vifo pamoja na tukio la Arusha. eg. Mkuu wa Mkoa anasema eti chadema poleni, ina maana yeye siyo kiongozi...
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali yanayohusiana na kuleta madhara , iwe kwa mtu , kikundi au taasisi kwa mfumo wa milipuko, kutekwa au kumwagiwa vitu kama tindikali na kadhalika...
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.
Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake...
Wanaukumbi.
Serikali imetenga kiasi cha sh milioni 100 kwa mtu yeyote atakayefichua mtu aliyerusha bomu kwenye mkutano wa kampeni Soweto Arusha.
Serikali imesema itatumia vyombo dola...
Sasa HIVI tunambiwa deni ni zaidi ya Trillion 23, toka 7.5 mwaka 2008, inawezekanaje katika utawala wa Kiongozi mmoja tu deni likapanda haraka kiasi hicho
Mh. Kikwete yeye hiyo haimpi shida...
Kwa wastan siasa za hapa kwe2 bongo ni kama m2 (mume) kabla hajampata msichana,hutoa ahad nying ilimrad ampate! akishampata,ataanza matus,oooh,m/mke mwenyewe hana adabu! kwan hukujua hili? sasa...
Arusha. Mwanasiasa mkongwe nchini Christopher Mtikila ameshinda kesi aliyofungua Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) mjini Arusha akidai Tanzania inakiuka demokrasia inapozuia wagombea...
Leo nimeelewa kwanini watu wengi wanasema Haya matukio yanapangwa. Kwanza ni kutokana na taharifa iliyotolewa Bungeni asubuhi hii na Lukuvi.Nashindwa kuelewa kama hii ni Taharifa ya Serikali, CCM...
Wakati ninasoma rasimu ya katika mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna neno linakera: "Serikali ya Tanzania Bara". Sura ya kwanza, ibara ya kwanza ya rasimu hii inatamka kwamba:
"Jamhuri...
1. Mwigulu Nchemba
Kiongozi huyu wa CCM amekuwa akitoa kauli zenye utata hapa jijini Arusha pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ambazo moja kwa moja zinapelekea kuhisi kiongozi huyu anafamu moja...
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.
Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha...
Familia ya aliyekuwa katibu mkuu mstaafu wa kwanza katika ofisi ya Rais, marehemu Thimothy Apiyo, imeishukuru Serikali kwa kuweka nishati ya umeme katika Kijiji cha Marasibora, wilayani...
Ndugu wana jamvi.
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine waliguswa na tukio la mlipuko wa bomb pale soweto siku ya jumamosi...
Watanzania wenzangu,
Tarehe 5.5.2013 kulitokea mlipuko wa bomu katika kanisa la Mtakatifu Joseph Olasit Arusha ambapo watu wawili walifariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa.Tuliona jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.