CDM tuendeleeni Kuhubiri Amani

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,180
85,339
Wana-CDM wote, naombeni tuendelee kuhubiri AMANI, no matter watatuua wangapi, no matter tutapitia maumivu makali kkiasi gani. Tusimamie HAKI kwa kuihubiri Amani, mito hii ya Damu na Mabomu haya, hayataishia kwetu tu, yatawapata na wao pia. Hatutalipiza baya kwa ubaya bali baya kwa jema. Hakuna haja ya CDM kutoa matamko mazito mazito bali matamko yetu yote yalenge AMANI.

uONEVU NA UUAJI HUU utafikia kikomo, damu za ndugu zetu hawa zitaamka, watarudi kama sio wao basi hata watoto wa watoto wao. MUNGU Ibariki Tanzania
tuombe amani - YouTube

Wimbo huo wa Mchg Abiud Misholi ndio unatimia sasa
 
Good Song!
Ninao kwenye simu...actually sasa hivi uko kwenye peak ya UJUMBE!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom