Vijana wasomi kujiunga jkt pigo kwa ccm 2015


kanga

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
1,022
Likes
87
Points
145
kanga

kanga

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
1,022 87 145
Utaratibu mpya wa vijana wasomi wanaomaliza kidato cha sita na kutakiwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria ni dawa na mkakati mzuri wa kuondoa CCM madarakani 2015.Ingawa taasisi ya jeshi pia inadhaifu wake ,lakini ni sehemu ya kuwajenga kifikira vijana hawa ambao watachukia rushwa na ufisadi ulitamalaki katika serikali ya ccm hivi sasa.Vijana jiungeni JKT ili baadae msaidie kuondoa serikali hii dhalimu ya ccm.Kwa hali yyoyte ile mwanamtandao anayehitaji urais mwaka 2015 hana tofauiti na Kikwete, Lowasa, Membe, Sita wote hao ni wanamtandao na hawana tofauti yoyote na uwezo alionao kiongozi wao Kikwete.
 

Forum statistics

Threads 1,272,602
Members 490,036
Posts 30,454,852