Kata ya Minepa Morogoro vurugu tupu

Kata ya Minepa Morogoro vurugu tupu

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,283
Reaction score
4,556
WanaCCM wamawavamia mawakala wa CHADEMA kwa kuwashambulia vikali. Wamechoma moto piki piki ya M4C. Wananchi wanazidi ichukia CCM.
 
Cha kushangaza fujo zinatokea kule CCM walikozidiwa tu, maeneo ambayo wananchi hawajajitambua na CCM inajua itashinda kiulaini hakuna fujo. Hiki Chama cha majangili ni hatari sana kwa mustakabari wa nchi yetu.
 
heee yamekuwa hayo tena? ccm tatizo nn kwanii msipowa watawala mtaufa jaman mbona mnatia aibu. onasasa ila upande ni vurugu. wananchi wakisema sasa basii wala msitafute mchawi
 
Ngoma ikivuma sana juwa karibu kupasuka. Kupasuka kwa CCM vipande vipande hakuko mbali
 
Hivi ulinzi wa police uko wapi?, Hali hii inayoendelea inaimanisha Serikali imeshindwa kuweka Askari wa kulinda maeneo ya kupigia kura vituo 26 tu nchi nzima?. Na kama police wapo kwa nini fujo zinaendelea?. Kama hawakuwekwa ni kwa nini serikali imeamua kufanya hivyo?
 
Mkuu uko hapo minepa? A u umepata taarifa?

Nipo Minepa, gari la M4C limefika na kuchukua majeruhi na kuwawahisha Ifakara hospital. Wananchi wanawashangilia na kuwaambia wamewanyima kura CCM. Vipi Ifakara
 
Kwanini kila kona ya nchi cdm ndoo wanashambuliwa??? Kwani vyama vingine havishiriki elections?
 
Back
Top Bottom