Ushauri kwa ccm


T

Topetope

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Messages
276
Likes
20
Points
35
T

Topetope

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2011
276 20 35
Sijawahi kuwa mchangiaji mzuri humu ila naomba kama ujumbee huu mkiusoma cCCM utakuwa na faida kidogo
NAONA SERA SASA HAMNA IMEBAKI VITA NA UPINZANI HIVI KWA HALI YA KAWAIDA MKATEKELEZA YA WANANCHI WAYATAKAYO SIZANI KAMA KUNAMWANANCHI ATAANDAMANA KUIFUWATA CHADEMA KWA MFANO
MCHELE,MAFUTA YA KULA,SAFARI,MAJI,VINGI SANA HUDUMA ZA CHINI KABISA HUDUMA ZA AFYA SHULE VINGI VYOTE VIKAWA NA UKWELI SITHANI KAMA LEO CHADEMA WANGE MPATA MTU HATA MMOJA ILA MMEZIDI ULAFI VIONGOZI WA CCCCCCCM HEBU FANYENI HAYA MUONE jamani ccccm wananchi njaaa kali kaka wanatafuta kwenye unafuu na unafuu unaonekana chadema
 

Forum statistics

Threads 1,273,091
Members 490,268
Posts 30,471,036