Tanzania inaelekea kuwa kama DRC Congo sasa. Nchi isyo na mwenyewe na hii huenda ni kwa sababu ya rasilimali zilizogundulika nchini humu kama mafuta na gesi.
Milipuko yenye sura mbalimbali...
Source Mwananchi
Mbio za urais kwa vijana na hasa ndani ya vyama unamwelekea vizuri Zito Kabwe hasa katika kipindi hiki cha mabadiliko ya katiba kupunguza umri wa kugombea na kuruhusu vijana kuwa...
Taarifa. CCM yatetea kiti cha udiwani ktk uchaguzi mdogo wa kata ya Mianzini Mbagala.
CCM 1200
CUF 494
CHADEMA 315
NCCR 1
Source:Mgombea wa CDM ndg. Cuthbert Ngwatta Saulo
Makamanda Habari za jioni
Leo katika kata ya Erelai kulikuwa na mikutano miwili moja wa ccm na mwingine wa Chadema ambao ulikuwa na nyomi ya kutosha na ule wa ccm kama kawa kikundi cha watu...
Habari wana JF,
Wengi natumaini mnakumbuka kauli ya Kardinali Polycarp Pengo punde tuu baada ya Mlipuko kanisani Olasiti. Pengo alisema anataarifa zisizo na shaka kutoka vyanzo anavyoviamini kuwa...
Kutokana na maafa yaliyotokea Arusha , leo kambi ya upinzani haikusoma hotuba yake bungeni , nawaletea vipande vyotuba husika.
kuhusu deni la taifa ,kila mtanzania anadaiwa kiasi cha shilingi...
Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania...
Wana jf
kutokana na matikio yaliyojitokeza kwenye kampeni za chaguzi za udiwani sehemu mbalimbali nchini,hawa wazee hawajasikika kukemea wala kuchukua hatua kwa chama chochote cha siasa wala...
Serikali imesema kwa atakayetoa taarifa na kufanikisha kukamatwa aliyetupa bomu ktk mkutano wa kampeni ya udiwani (CDM) akatabidhiwa kitita cha sh. mill 100.
Sasa hivi ukiwakuta chadema kwenye mikutano yao ni kuiponda ccm na mda kidogo ndo sera zinzunguzwa na ukienda mikutano ya ccm issue ni slaa,au shibuda au mbowe mkutano unaisha sera hamna naafikiri...
Najiuliza watanzania tunaelekea wapi na siasa hizi hadi kufiki hatua ya kurusha mabomu katika umati wa watu. Nia kubwa ni nini hasa?
Watu wamefariki na wengi kujeruhiwa kwa tukio nadra sana...
Kufuatia vitendo vya kigaidi na vilivyokosa uungwana vya wanaCCM kuwapiga na kuwajeruhi vibaya wafuasi wa CHADEMA ikiwa ni pamoja na kuwashambulia kwa mabomu katika uchaguzi mdogo tu wa madiwani...
Nikiwa kama Mtanzania mwingine anaye penda haki na amani iwepo kwa kila raia na mgeni hapa Tanzania napenda kusema kuwa tatizo Zima la Arusha lipo ndani ya Jeshi la Polisi. Ndani ya Jeshi la...
kwa mtizamo wangu naona kama haya yote yaliyotokea jana ufumbuzi wake ni kuwa na katiba mpya itakayo tupatia tume huru ya uchaguzi.
Itakayo tupatia jeshi imara la polisi
Itakayo tupatia viongozi...
Matukio yanayoendelea kutokea ndani ya Tanzania ni hatari iliyoko mbele yetu na hakika hapa tulipo si salama tena. Wenzetu wenye dhamana ya kusimamia usalama wa watanzania wanatupa mashaka na hofu...
Pin ya bomu na maganda ya risasi yaliyookotwa katika uwanja wa soweto Arusha na wanajeshi yamegundulika kuwa ni toleo la kisasa mno na pia ni bidhaa za kiwanda cha China na zimezalishwa mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.