Wana JF nisaidieni tafadhali,
Mpaka sasa, imedhihirika (na ushahidi upo) kuwa mabilioni yameibiwa huko BoT. Pia imedhihirika kuwa wizi huo ulitokea chini ya uangalizi wa Ballali. Lakini...
BoT funds recovery exercise: A wild goose chase ?
-Reports abound of elaborate money-laundering tactics
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
ABOUT half of the 133bn/- embezzled from the Bank of...
Nimeshindwa kuitafutia mada hii, sanduku. Hatimae nimeiweka hapa kwa wakufunzi walete moto moto zao. Dini au siasa. Ningeweka ktk dini nahofia ingehamishwa na ningeweka katika siasa ingelikua...
Is your MP working hard enough?
The Ugandan branch of the Africa Leadership Institute has just launched a new system to hold members of parliament accountable.
The scorecard system monitors...
Nikiwa nimeshtushwa sana na Ubadhirifu wa mabilioni ya fedha za umma katika benki kuu, na kwa kuwa shutuma zilizopelekea uchunguzi kufanyika zilitoka kwa mbunge Mh dr Slaa,basi mimi nina wasiwasi...
Naomba kuuliza wataalamu wa uchumi, wanieleze faida zitakazo toka kwenye kiwanda cha magadi kinachopendekezwa eneo la Ziwa Natron. Mkataba utakuwa kati ya kampuni ya Tata Chemicals ya India na...
Two Tanzanian stowaways to be deported
January 22, 2008, 16:30
Two young stowaways, who spent a harrowing eight days on a small ledge above a container ship's rudder from Kenya to Port...
Hakuna haja ya tume nyingine tena itumie mabilioni for doing nothing! Tunachotaka ni kuona wahusika wote wanatiwa ndani haraka sana na kufikishwa mahakamani kujibu hatia dhidi ya ufisadi na...
Back to Story - Help
Study: False statements preceded war By DOUGLASS K. DANIEL, Associated Press Writer
Wed Jan 23, 6:43 AM ET
A study by two nonprofit journalism organizations found that...
Katika taarifa za za habari jana usiku na leo magazetini kumejitokeza kitu cha kufadhaisha sana hususani ktk suala zima la mwanahabari Kubenea na mzee Tega.
Sipendi kuhitimisha ila nimepatwa na...
Nilikuwa nauliza tuu kama bado ipo maana nilikuwa member pale lakini nasikia akina Big Ron walikuwa na ideas zingine wanaziozijua wao
sasa watu huwa wanahanga wapi?
Of course i meant decent...
WanaJF,
Kuna mdau mmoja ameniomba nipost 'dili' hii fresh... kama kuna anayeiweza, huu ndio wakti wa kuwa mjasiriamali... mi sina uzoefu wa biashara...
From: Africa J Bwamkuu...
Jamani nimekuwa nikitatizwa na swali hili. Kuna kampuni moja ya kizalendo iliyojulikana kama "Mwananchi Engineering and Construction Company" (MECCO). Hivi kampuni hii bado ipo ama ilikufa kama...
Najiuliza kidogo wana JF wenzangu kuhusu kukamatwa kwa watuhumiwa wa umwagiaji wa tindikali kwa mhariri wa MwanaHalisi Bw Kubenea na mapanga kwa Bw Ndimara Tegambwage walikamatwa lini maana mara...
Hii ni email ambayo imekuwa forwarded kwangu juzi na nimeona itakuwa vizuri nikii share na wadau hapa, rule zilizotajwa hapa ni kumi tu, ningependa kuona mchango wenu kwenye kuziongeza zaidi na...
Kutokana na ripoti hii ya BOT ni nani hasa mwenye uwezo wa kufungua mashitaka dhidi ya wahusika.Imedhihirika wazi kuna wizi umefanyika ktk bank kuu.
1,je ni bank kuu yenyewe ndio yenye jukumu la...
Ndivyo wanavyodai baadhi ya watu, wanadai hakuna aliyeshuhudia, hakuna picha za ajali hiyo, gari haijulikani iliko, na mambo kadha wa kadha. Bofya hapa...
It is about time someone has got into this.
There has been a lot of fake colleges, claiming to be affiliated with well known Universities here in the UK. Basically they promise international...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.