Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,502
- 156
Wakuu heshima mbele,
niliskuwa napitia tovuti ya TACAIDS NA NIikaenda katika link ya forum na huku ndipo nikakuta picha za ngono. http://www.tacaids.go.tz/modules/phpBB2/viewtopic.php?t=8107&sid=507f4c1bd005c25b591b50242afa59bf
hii yote inaonesha jinsi pesa yetu inavyoliwa na wahuni na Mafisadi,Wanatoa pesa nyingi kudevelop website na wanashindwa kuweka moderator wa Forum.hata kuedit website yao.Jambo la pili waliingizwa changa la Macho na Watu wa UCC ambao waidesign website hiyo kwamba watawekewa forum ,ila UCC wameshindwa kucutomize hata Phpbb2.
Nachofahamu UCC wanafanya webiste kuanzia $ 8,000-22,0000,sasa sijui hii iligharimikiwa sh . ngapi?na ni utumbo mtupu.
suala la Pili UCC wamekuwa wkipewa kutengeneza website ila wanarudia layout hiyo hiyo kwa kila website
angalia website ya National Audit Office www.nao.go.tz na hii ya www.tacaids.go.tz na www.nimr.go.tz ,hakuna ubunifu wanabadilisha contents tu.
Suala lingine angalia na webiste ya National Auidt haina habai ambazi ni za hivi karibuni,najiuliza hao wafanyakazi ambao ni systems analysts wanafanya kazi gani zaidi ya kukimbilia semina?