Wana JF kuna jambo limekuwa likinisumbua sana kwa siku nyingi. Kila niendapo kanisani huwa najaribu kuangalia dada zetu wanavyovaa na huwa najiuuliza maswali mengi sana. Nashindwa kuelewa kama...
Kwa wale ndugu za ngu wachagga waliozoea kuwa Moshi kwao saa sita mchana biashara hiyo imesitishwa kwa muda kutokana na madereva wa mabsi waliokuwa katika mgomo kuamua sasa kuwa watiifu wa sheria...
Wakati wahanga wa mabomu ya Mbagala wakiwa bado hawajasau vizuri yaliyowakumba siku za nyuma....mlipuko mwingine wa bomu ulitokea juzi na kusababisha tafrani ya aina yake kwa wakazi hao ambao...
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana Taifa wa Chama cha Mapinduzi (Uv-CCM) Hamad Yusuf Masauni, ameachishwa kazi katika Wizara ya Nishati na Madini.
Hata hivyo, taarifa kutoka vyanzo vya habari...
Assalamu alaykum.
Kwa waislamu wanaoweza kutoa msaada wa tende ili tutoe kwa waislamu wenzetu wa wilaya ya Rufiji, kuanzia jaribu mpakani, Bungu, Kibiti, Ikwiriri, Nyamwage, Chumbe mpaka Muhoro...
Vipi refa anapoamua kukwatua?
Napenda nami leo nichangie kidogo kile ambacho kinajiri hapa JF. Kwa muda mrefu sana, mambo ya siasa na dini ndio yamekuwa kama ajenda kuu za wadau humu ndani ya...
Mwee kwa kweli tanzania kibokooooo...yaani mtu wa ofisini hawezikukusaidia mpaka umpe hongo....
here is the thing right...Nimeenda vizazi na viso nataka wabadilishe something something kwenye...
___________________________
Soma RAIA MWEMA ya leo:
Inapatikana hapa
___________________________
NILIIPOKEA vizuri taarifa ya uamuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe (Mb)...
Watanzania wawili kati ya wanne waliozamia meli ya mizigo iliyokuwa ikielekea Afrika Kusini wamefariki ndani ya meli hiyo baada ya kujificha ndani ya meli hiyo kwa siku tisa.
Miili ya watanzania...
Jaman hebu nifumbuen kwa hil. Et, kuna eneo linaitwa uchindile wilaya ya kilombero morogoro, kuna wazungu wamepanda miti fulan, lakin tetes zinasema si mit peke yake kuna madin huko na kuna mabosi...
Wadau naombeni msaada, eti leo server za yahoo kuanzia mda huo mbona hazirespond? kuna tetesi eti nimeskia kuna technical problem? Wadau naombeni kuuliza eti ni kweli? maana napata kigugumizi...
Im not sure how well the product is selling, but its certainly getting attention. An ad on YouTube received close to 200,000 hits, and a Harvard Business School writer said the Double Down might...
KIJANA HUYU AMEKUWA AKITOKWA MACHOZI YA DAMU KWA MUDA SASA WAZAZI WAKE WAMETAFUTA WATAALAMU LAKINI MADAKTARI BINGWA HAWAJUI UGONJWA HUO UNASABABISHWA NA KITU GANI.
KATIKA MAELEZO YAKE MUATHIRIKA...
Kutoka JamboForums (August 2006) kwenda JamiiForums (April 200.
Inapata hits zaidi ya 30mil kwa mwezi (August zimefikia 42mil)
Imekuwa ranked kama site inayotembelewa zaidi na Graduates na...
Jamani nimejaribu kulizuia lakini fupa limenishinda kukaa mdomoni kwani kuendelea kuwa nalo linaweza kunikwama hivyo nahitaji ufafanuzi juu ya methali maarufu ya kuswahili isemayo 'KAFIRI AKUFAAE...
Hii forum yetu wanajamii inabidi tuilinde wenyewe,sababu katika msafala huu naona kunaweza tokea baadhi ya wapinga cc,ili kuharibu tuu status ya haka kautamu ketu,tukiona dalili ya hivi vijiswala...
Jamani kwa kweli nimeamini kuwa Tanzania tuna safari ndefu sana ya kufikia maendeleo endelevu. kwa sababu hata uwezo wetu wa kuchambua mambo ni mfinyu sana na mara nyingi tukiwa na upande hatutaki...
Na Jabir Idrissa
HAPENDI namna Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ilivyoondoa mafuta na gesi asilia katika masuala ya Muungano; ufisadi unavyotesa chama akiaminicho; mahakama inavyoshutumiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.